Nyerere... mbwa na taifa," isn't the country in the hands of dogs?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere... mbwa na taifa," isn't the country in the hands of dogs?"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 20, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwaka 1995 mwalimu Nyerere alisema, "I can't let my country go to the dogs, akimaanisha Augustine Mrema na NCCR-Mageuzi wakati ule. Maskini Nyerere hakujua kuwa nyumbani kwake walikuwa wamejaa mbwa tena kusiri! Miaka zaidi ya kumi tangu Nyerere ang'ake. Je Tanzania haikwenda kwa hao mbwa ambao wengi wao wamegeuka kuwa hata mchwa wakitafuna kila kitu hata takataka? Akina Benjamin Mkapa, Daniel Yona, Basil Mramba, Nazir Karamagi, Edward Lowassa, Mstapha Mkulo, Idd Simba, Ibrahim Msabaha, Cyril Chami, William Lukuvi, Anna Makinda, Samuel Sitta, Juma Ngatunga, Jakaya Kikwete, Ali Hassan Mwinyi ni nani jamani? Should we let our country stay in the hands of dogs or do something?
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. E

  Emmanuel_mtui Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni muda, angekuwepo leo angekiri udhaifu, kwani kama hata hao aliowaona watu wakati huo leo wako wapi na wanfanya nini? Tumsamehe mzee yule alishazeeka tukomae na yetu,
   
 4. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MKUBHWA,
  NYERERE hakuwa anamaanisha MREMA peke yake. MWL alikuwa akimaanisha 'mbwa na vijiumbwa' ndani na nje ya CCM: REJEA (1) KITABU 'UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA'; (2) HOTUBA YA YAKE MEI 1, 2005; NA (3) HOTUBA KWA NEC CCM NA MKUTANO MKUU TAIFA CCM. MWL ALIHAKIKISHA WANATUTAWALA SASA NA WALIO NJE KAMA KINA JOHN SIGWEYAMISI ANAWATEKEKTEZA KISIASA. NI KWELI LAKINI, AKIFUFUKA ATAJILAUMU KWA KUTOA KAULI ILE KWANI ATAGUNGUA KUWA HATA WALE ALIOAMINI KUWA SI MBWA, KUMBE NDO MAMBWAMWITU!

   
 5. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbwa wanaosahau hata kunyonyesha watoto wao
   
Loading...