Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!!

Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM!

Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani
Watakushughulikia kungali kweupe!
Hii desturi si njema kwa afya ya Taifa, na hii inatokana na desturi ya kuthamini chama kuliko Taifa.

Hadi Sasa, kumbukumbu zangu zinaniambia, ni watatu wamethubutu kukiuka huo mwiko na kuonekana mashujaa, wakaamua waziwazi kusema wanaCCM wanakosea katika hili au lile

Kukosoa watendaji wa serikali ukiwa ndani ya CCM, ni ujasiri mkubwa!

Tunaomba Wana CCM tubadilike,
Uhai wa chama ni uwajibikaji Bora wa watendaji wetu.

Tujisahihishe

Hio nayo ni sehemu ya kumuenzi Mwl Nyerere!
Unamkosea heshima Mwalimu Nyerere kumlinganisha na wahuni. Koma kabisa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar inajitesa yenyewe,

Ni kweli inajitesa yenyewe kwani majeshi ya Tanganyika yapo kila mtaa pamoja na watu wasiojulikana kutoka Tanganyika . wanasubiri uchaguzi /uchafuzi ufike wauwe watu na kutia vilema watu huku wakinajisi na kuiba
 
unafikiri wavaa madera wengi wao wanajitambua?. Uswahili tu na majungu hawawezi kazi hao.

1639476480583.png
 
Ni kweli inajitesa yenyewe kwani majeshi ya Tanganyika yapo kila mtaa pamoja na watu wasiojulikana kutoka Tanganyika . wanasubiri uchaguzi /uchafuzi ufike wauwe watu na kutia vilema watu huku wakinajisi na kuiba
Hakuna mwenye jeuri kama magu tena mambo shwali
 
Back
Top Bottom