Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

Mimi naunga mkono nyerere kuwa mtakatifu ukizingatia nafasi aliyowapa wakristo kupitia nafasi yake ya urais wa watu wote.
 
By the way huyu Yericko nyerere,

Huyo nyerere anaejinathibishanae na kulitumia jina lake si baba yake na wala hausiani nae kivyovyote vile,

Aibu kubwa kujiibia jina na kulifanya una uhusiano nalo,familia ya nyerere inafedheheka sana kwa hili...
Wewe THE BIG SHOW una matatizo gani?.

Huoni kama Jina la Mwl. Nyerere ni UFUNGUO na MTAJI kwa Tanzania.

Cha kushangaza Mwenye jina na Watoto wake wa kuzaa hawapendi kujikweza na kujisogeza karibu na Jina linalotambulika kama MWL. JULIUS NYERERE, lakini wale walioko mbali na jina hilo wanapenda sana kujisogeza karibu.

Huyo jamaa hata kama uta BET million pound, hawezi kukuambia kama Mwl Nyerere ni baba yake mzazi au hapana.

He's much happy to keep wananchi in suspense!.
 
Last edited by a moderator:
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amewahimiza wakatoliki wa Tanzania na duniani kwa ujumla kuzidisha maombi kwaajili ya mchakato wa Utakatifu wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,

Akizingumza zaidi amesema kuwa Mwalimu Julius Nyerere kuwa Mtakatifu ni Heshima ya juu sana kwa Wakatoliki wa Tanzania na dunia nzima, hivyo ni vema kuzidisha maombi ili mchakato wa Mwalimu Julius Nyerere kutoka kuwa MWENYE HERI hivi sasa, aende kuwa MTAKATIFU ambayo ni hadhi ya juu kabisa ya muamini ukatoliki!

Yakaisari muachieni Kaisari na ya Mungu muachieni Mungu!
kwani yeye hautaki? au sio mkatoliki?
 
Yericko Nyerere,
Hebu wafaamishe Watanzania hayo maneno ya Museveni kayasemea wapi na lini, hebu hapa chini msome mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni mtoto wa kwanza wa Mwalimu.
Nipo Kampala sasa hivi. Kama Museveni alisema hivyo sijasikia. Nafahamu tu jana kulikuwa na Misa Namugongo Matyrs' Shrine kumuombea Mwalimu,na Museveni hakuwepo,aliwakilishwa na Makamu wa Rais wa Uganda.
Patamu hapo wanaukumbi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeelewa hasa taarifa hiyo hapo juu?

Kwani Yoweri Museveni ni mtoto wa Julius Nyerere?

Tumia akili hata kidogo kila unapolijadili jambo,

Hivi habari zinazomuhusu Mwalimu Nyerere zina haki miliki kuja hapa?

Pole sana kwakukwazika mzee wa gesi ya Ntwara

Wewe ndiye usie tumia akili Yericko,mimi iyo hoja nimeielew vyema kabisa,

Sasa niemacha hoja kwa makusudi na kuamua kukujadili mleta hoja,unajifanya kama hujui nin mantiq yangu...

MANTIQ YANGU NI KWAMBA HILI JINA UNALOTAMBA TAMBA NALO HADI UKAJA NALO HUMU JF KUJIKWEZA NALO,SI LAKO,NA HUNA NASABA NALO,JE HAIJAFIKA WAKATI SASA UKAACHANA NA UCHAKUBIMBI KAMA HUU??

TAMBUA KWAMBA HII INATIA KINYAA SANA MACHONI MWETU,NAJUA KWAMBA YAWEZEKANA KUNA NYERERE WENGI AU KIUKOO UKOO N,K,,KINACHOKERA ZAID NI WEWE KUJIFANYA MWANA FAMILIA WA NYERERE NA KUJIFANYA KILAJAMBO LINALO MUHUSU WEWE KUWA KINARA NA MSEMAJI WA FAMILIA HII KWA KUTUMIA JINA HILI HALI YA KUWA SI KWELI,NA WEWE UNATAMBU KWAMBA SI KWELI,JE HUONI KINYAA??

CC Ritz naomba kwa heshima ya Jukwaa hili utuwekee yale majina ya famili ya nyerere ili watu wazidi kujionea uhalisia wa huyu anaekimbilia nasaba zisizo muhusu,,

Ifikie hatua ya kumwambia ukweli sasa kwamba hii sio tabia ya kiungwana kuikumbatia nasaba isiyokuwa ya kwake,,

Haitoshi kaja hapa jukwaani kujiverify,hii si sawa kabisa...

Sisi tunapata mkanganyiko sana,Mods ambao wamemverify huyu watusaidie wakati anaomba kuwa verified user wa jina hili kubwa alisema yeye ni mtoto wa ngapi katika uzao wa JULIUS KAMBARAGE??

Hii kitu inaleta mkanganyiko sana,tunawafahamu wengine tuh kama Andrew Nyerere,

Mods mtusaidie,ama la hili jina liondolewe humu jukwaani,,

cc Invisible....
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,
Hebu wafaamishe Watanzania hayo maneno ya Museveni kayasemea wapi na lini, hebu hapa chini msome mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni mtoto wa kwanza wa Mwalimu.

Patamu hapo wanaukumbi.
Huwezi kumuona tena hapa kutia neno zaidi ili kujibu bandiko la Andrew Nyerere

Yeye yuko nyuma ya keyboard wakati wale wanaohusika kwa karibu wako kwenye shughuri hii maalum ambayo ninasikia Watanzania wengi hasa wa mikoa ya kanda ya Ziwa wameenda kwenye hafla hii.

Huyu "mtoto wa Mwl. Nyerere" hata kwenye hafla ya "baba yake" hakwenda? lakini cha kushangaza habari anazileta kabla hata ya wale walioko kwenye hafla yenyewe.

He seem to be EVASIVE CRAFT!.
 
Yericko Nyerere,
Hebu wafaamishe Watanzania hayo maneno ya Museveni kayasemea wapi na lini, hebu hapa chini msome mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni mtoto wa kwanza wa Mwalimu.

Patamu hapo wanaukumbi.

Patamu sana Ritz,

Naomba kwa heshima ya jukwaa hili ituwekee ile lists ya wanafamilia ya nyerere ili tuzid kujitosheleza na kuutambua ukweli uko wapi,,,

Brother adrew Nyerere,hamuoni sasa ni wakati umefika wa kumwambia wazi wazi ikiwa na pamoja na kumchukiulia hatua kali huyu ndugu anaelitumia jina hili la Mzee wenu kinyume na sheria na kuja nalo hadharani kulisema ni la baba yake pia??

Mkumbuke kwamba Nyerere ni jina kubwa katika taifa hili,msipochkua hatua za ziada kuna hatari watu kama hawa wakalitumia jina hili kuleta taarifa za upotoshaji kama hizi ikiwa ni pamoja na kulitumia katika njia za utapeli pia,

Nashauri mlifanyie kazi suala hili,mfano taarifa hii aliyoileta inasemekana si ya kweli,hii inaharibu sana ina la mzee wenu,mzee wetu pia,

Mchukulien hatua huyu mtu anaeidandia nasaba ya ukoo wenu...
 
Last edited by a moderator:
Baba wa Taifa J.K.Nyerere alituachia mengi mazuri ila walafi wakapora kila kinachoporeka! Kitu nisichokipenda ambacho Nyerere alituachia ni UJINGA na UTEGEMEZI. Kwa ujinga na utegemezi watanzania hatuna uthubutu na weledi wa kujiajiri kama wajasiliamali. Tunategemea tuajiriwe na Serikali. Ni kama KAUNDA alivyowalemaza wazambia kwa kuwagawia vibaba vya unga kila mwezi, matokeo yake wazambia hawakuwa wakijishughulisha na kilimo. Viongozi hao hawakusoma alama za nyakati kwamba Ujamaa utakufa! Jambo jingine baya Nyerere alitujengea NIDHAMU YA UOGA. Hatuwezi kuchukua maamuzi magumu tunaishia kulalamika tu ktk masuala nyeti kwa mustakhabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo!
 
Huwezi kumuona tena hapa kutia neno zaidi ili kujibu bandiko la Andrew Nyerere

Yeye yuko nyuma ya keyboard wakati wale wanaohusika kwa karibu wako kwenye shughuri hii maalum ambayo ninasikia Watanzania wengi hasa wa mikoa ya kanda ya Ziwa wameenda kwenye hafla hii.

Huyu "mtoto wa Mwl. Nyerere" hata kwenye hafla ya "baba yake" hakwenda? lakini cha kushangaza habari anazileta kabla hata ya wale walioko kwenye hafla yenyewe.

:bump2::hurt:

Ha ha ha ha,,

Hatari sana,sijui hili wazo alilipata wapi huyu kanjanja,,,

Wenzake kina Andrew Nyerere wapo zao namugongo kwenye misa yeye yupo zake kwenye keyboard??

Aibu telee imemjaaa...!!
 
Last edited by a moderator:
Nipo Kampala sasa hivi. Kama Museveni alisema hivyo sijasikia. Nafahamu tu jana kulikuwa na Misa Namugongo Matyrs' Shrine kumuombea Mwalimu,na Museveni hakuwepo,aliwakilishwa na Makamu wa Rais wa Uganda.

Ahsante Brother Kwa taarifa hii,

MIMI NASHAURI MUMCHUKULIE HATUA HUYU JAMAA ANAEDANDIA NASABA YA UKOO WENU NA KULIDHALILISHA JINA LA MZEE WETU,

TAFADHALI TAFADHALI,WENGINE HAWAKAWII KUWA MATAPELI HAWA KAKA,

SIKU NJEMA...
 
Kanisa Katoliki lipo kwenye mchakato wa kumfanya Mwl. Julius Nyerere kuwa mtakatifu je ukiwa kama mtanzania unafikiri Nyerere anapaswa kuitwa Mtakatifu? Tafakari kabla ya kujibu
 
Kanisa Katoliki lipo kwenye mchakato wa kumfanya Mwl. Julius Nyerere kuwa mtakatifu je ukiwa kama mtanzania unafikiri Nyerere anapaswa kuitwa Mtakatifu? Tafakari kabla ya kujibu

Atastahili kuitwa Saint lakini baada ya hatua Muhimu kupitiwa na Beautification Kuikamilisha Kazi.
 
Mbali na Mapungufu yake kama binadamu (hakuna aliye mkamilifu), Nyerere anastahili heshima hiyo ya Utakatifu ukisoma vitabu vyake ndo utaelewa jinsi alivyokuwa na busara huyu Mzee. Pia Sera zake hasa katika Elimu, Ardhi & Uhusiano wa kimataifa vinampa heshima zaidi. Mt. JULIUS NYERERE Mungu akuweke mahala pema peponi AMIN
 
Je sifa za watakatifu Nyerere anazo?.wenye ufahamu na hii mambo mtujuze��
 
Mm nafikiri kama utakatifu sifa moja wapo ni nchi kukosa kila kitu ikiwemo mkate basi anastahiki hilo
 
Utakatifu wa Nyerere unawahusu wakatoliki tu, kama sio mkatoliki, huwezi ukaelewa au ukaelewesha mtu mbali na kutoa hisia za chuki, chuki ambayo inaendena na mafundisho ya baadhi ya dini...
 
Utakatifu wa Nyerere unawahusu wakatoliki tu, kama sio mkatoliki, huwezi ukaelewa au ukaelewesha mtu mbali na kutoa hisia za chuki, chuki ambayo inaendena na mafundisho ya baadhi ya dini...

yaani hata kueleweshwa hauiwezekani?
Duh hiyo Kali, wakatoliki ni kiboko.
 
yaani hata kueleweshwa hauiwezekani?
Duh hiyo Kali, wakatoliki ni kiboko.
Huwezi kueleweshwa jinsi unavyotaka, ni darasa ambalo hata wiki moja haitoshi. Maadam wewe siyo Mkatoliki, uiache tu ilivyo, wala usiwe na chuki kwa sababu zako binafsi. Hata kazi alizofanya Nyerere kwa bara nzimala Africa ni dhahiri, sasa kama hizo kazi huzioni hata ungewekwa darasani kupigwa shule ya mchakato wa kuwa mtakatifu hutaelewa.
 
Back
Top Bottom