Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HM Hafif, Oct 9, 2009.

 1. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa kanisa Katoliki nchini Tanzania linataka kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtakatifu.

  Labda tujadili kidogo. Ni kipi ambacho Nyerere amekifanya kuwafanyia Watanzania mpaka apewe wadhifa huo wa kuwa mtakatifu.

  naomba maoni yenu jamani.

  ===============

   
 2. M

  Msindima JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kumbe ni tetesi tu,hebu twambie hizo tetesi mwenzetu umezipata wapi ili tuweze kufatilia yamkini tutapata ukweli ili hii habari isibaki kama tetesi.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe ni ignorant, na hujui kuwa kanisa katoliki lina taratibu zake na sio kama akili zako matope zinavyodhani. Kwa kifupi jaribu kugoogle ujifunze mchakato ukoje. USIDADIE GARI KWA MBELE NA KUCHEKESHA WALIONUNA.

  Unataka ujadili hili wewe kama nani? Inakuhusu nini?Swali lako linaonesha upeo wako wa kufikiri ulivyo FINYU. Utakatifu una mahitaji yake, na hakuhusiani na kuwafanyia chochote waTZ.

  Nadhani unahitaji zaidi ELIMU kuliko maoni yetu.
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kama unaijua biblia vizuri huwezi kumuambia mtu ni mtakatifu! Kuna mahala pameandikwa hivi " wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU" ndo maana tunaenda makanisani na misikitini kutubu dhambi zetu na kumuabudu MUNGU.... au yeye alikuwa haendi
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  anastahili huyu mzee!mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kwa mujibuwa tafsiri ya nani? ya kwako, kanisa katoliki, lutherani, pentekoste, anglican, orthodox,........

  waachie wahusika wafanye wafanyayo, wamefanya hivi for centuries sasa. mbona hujahoji ya mama theresa, na wengine wengi?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbona Ndugu Mwamedi alitangazwa kuwa mtume na hamkuhoji enyi mujahidina!Acheni watu wa Kanisa lake wafanye kilicho katika taratibu za Kanisa lake. Hili suala la kujadili kama siasa, na hujalazimishwa kukubaliana na suala hilo, wala halijaingizwa kwenye katiba ya nchi...shut-up your mouth and stay away of this!
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Pilipili usiyoila inakuwashia nini? haya mambo hayana chochote cha kufanya na ibada ya mtu mwingine yoyote. Na kwa vyovyote vile kanisa katoliki linayapeleka katika utaratibu uliomo ndani ya kanisa hilo. Sasa tujadili nini? Kulipindua kanisa au kuinyang'anya hiyo process kutoka mikononi mwao?
  Jamani Taifa hili linataka kujengwa na sio haya mambo ya dini ambayo hayana kichwa wala mguu
   
 9. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naona kama una jibu ni bora kukaa kimya kuliko kububujika matusi bila mpango.

  Kama ulivyosema nahitaji Elimu na sio maoni. sasa nielimishe nijuwe na sio kunitusi.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mkuu punguza hasira anaihitaji kuelekezwa tu huyu
   
 11. M

  Msindima JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa unayosema Kigogo.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Angalia nature ya post yake utabaini mengine kabisa, hana analotaka kujua huyu.

  Muda si mrefu itakuja troop nzima ya Boko Haram wenzake akina Miss Ngoda, Tumain, Daresalama, et al. We subiri utaona.
   
 13. M

  Msindima JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Abdulhalim please punguza ukali wa maneno,usimwite mwenzako ***** ,sijui akili yake ni boga,haya maneno si mazuri kabisa hayafai,unajua unaweze kujikuta umemharibia mtu siku yake na akawa siku nzima yuko ovyo kwa sababu tu ya maneno tunayoongea,so please tumweleweshe tu taratibu ndugu yetu ili aelewe,hakuna sababu ya kuambiana maneno ya ajabu ajabu.
   
 14. k

  kabwa Member

  #14
  Oct 9, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dawa ya homa kali ni sindano,japo inauma
   
 15. M

  Msindima JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe mkuu sasa nimeelewa kwa nini Abdulhalim anatoa sindano kali.
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Samahani kama nimemkwaza yeyote. Naondoa kauli yangu na nimemuweka Bw. Hafif kwenye ignore list, anapostahili kuwepo, maana naona sioni chochote cha faida ninachoweza kukipata kwenye posts zake. Yeye na wenzake (nadhani wanajijua).

  Wasaalam.
   
 17. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kulikuwa na mchakato wa kumtangaza kuwa mwenyeheri na sidhani kama ameshatangazwa kwani baada ya hilo ndiyo anaweza tangazwa mtakatifa au la.

  Hivyo viongozi wakatoliki wanaweza kulitolea maelezo kuwa limefikia wapi.

  Lakini pia kuna mtu ameandika kuwa biblia imeandika kila binadamu ni mdhambi! Hiyo ni kweli, lakini usafi tunaupata wapi? Maana huo usafi ndiyo unapelekea utakatifu. Hivyo watakatifu wapo na biblia imewataja vinginevyo wasingetajwa.

  Nyerere alikuwa kiongozi mzuri lakini pia kuna maamuzi yake mengine hayakuwapendeza watu. Lakini JE MENGI YA MAMBO ALIYOFANYA YALIKUWA MEMA AU MABAYA? NA JE WAKATOLIKI KUTAKA KUMTANGAZA KWANI NI LAZIMA AWE? Inawezekana kwa vigezo vyao asiwe hivyo tusubiri tuone kwani wakimtangaza kweli watatoa maelezo.

  HAPA JAMVINI KUWA WATU WANATUMIA LUGHA ZISIZO ZA KISTAARABU NA HII JF TUNASEMA HOME OF GREAT THINKERS SASA HAIINGIII AKILINI KUWA NA WATU WANAOBWABWAJA MATUSI BILA MPANGO. PLEASE WE HAVE TO CHANGE FOR THE BETTER.
   
 18. M

  Msindima JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hujanikwaza binafsi,sasa nimeshaelewa kwa nini ulikuwa mkali kumbe jamaa ana agenda zake za siri ndo maana analeta mada ambazo kwa kweli sikua nimemwelewa lengo lake ni nini lakini baada ya kusoma na ile post nyingine akili yangu ikafunguka na kumwelewa jamaa,nimeshakuelewa kumbe lengo lako lilikua ni zuri kabisa,sorry kama nilikukwaza.
   
 19. I

  Irizar JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi naona haya ni mambo ya dini kama mtu anataka kujuwa zaidi aende St Joseph akamuulize Askofu Pengo, huyu ni mkuu wa katoliki hapa TZ. Tukumbuke ncji yetu nzuri ya TZ haina DINI, ni ya watu. Ila ni vizuri kujuwa, na ukita kujuwa vizuri elekea uasawa wa kanisani utawakuta mapdri kibao huko ongea nao wakueleze.
  Mimi pia ni mkatoliki, na sina hakika kama napenda Nyerere awe mtakatifu, ila pia huwa najiuliza je hao watakatifu woteeeeee waliotajwa kwenye vitabu walifanya nini?? nani anajuwa wotee?? nimewakuta tu kwenye vitabu na huwa nawaomba wanisaidie kuniombea kwa Mungu msamaha wa dhambi zangu, naamini wako karibu na Mungu na anawasikiliza kwa haraka, mhhhhhh!!!! bwana mambo ya imani hahaaaa haluuu ni makubwaaa.
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Bible ni moja tu Uwe katoliki ,lutherani,pentecoste etc....kitu hata kikifanyika zaidi ya centuries kama ni kosa lita baki kuwa kosa! Hakuna mtakatifu duniani bana
   
Loading...