mimi binafsi ninamkubali JK NYERERE , kwa memgi aliyotuelimisha , Mola amlaze pema peponi amin lakini upande mwingine wa sarafu NYERERE alikuwa ni dikteta ukikataa anayotaka yeye utapotea . lakini kwenye uongozi wa africa lazima uwe dictator kwanza ili wananchi wasikuchezee . haya ndiyo mapungufu yake kwenye macho ya wana bodi wa nobel