NYERERE: hakuna watu waitwao Waswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NYERERE: hakuna watu waitwao Waswahili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jun 18, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 2. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,626
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Mimi ni Mswahili
  vox populi,vox dei
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Waswahili ni wakina nani? ni kabila au ni watu wanaozungumza kiswahili. Mtu ukikulia pwani ni mswahili au? mimi naona hii haina tofauti na jina "wamachinga"
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nyerere alichanganyikiwa, aliteleza. Mtakatifu duh!!!
   
 5. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,731
  Likes Received: 1,438
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa anti-Nyerere mbona wametindikiwa namna hii. Wanahangaika ktk jangwa la udini. Ok wanajua liliko kaburi la Mwl. ni vema waenda pale waka-argue nae lakini sio kuijaza JF na malalamiko ya kipuuzi kila kukicha. After all pia wana vyombo vyao vya habari kwa nini wasimtafute huyo wanaemtuhumu ili wahojiane? Au vipi si wampeleke kwenye zile mahakama zao? Maana hawashindwi hawa kugeuza chumba kitupu kuwa Mirembe.

  Wanataka shari hawa jamaa, so wasitafute njia ndefu kufika watakako, Z'bar ndio waliokuanzia waendeleze moto wao na huku Bara kisha watajua kama sanity is same as madness.
   
Loading...