Nyerere azidi kumkaba Mkapa ataka kiongozi huyo aondolewe pensheni yake

mjee nkapa kafulia mwacheni tu, kumbukeni maneno ya baba wa taifa kwamba, ukigombana na mwendawazimu nawe utaonekana mwendawazimu
 
Mkapa hayo anayoyapata yanamstahiki anafanya vitu kama vile hajielewi yeye ni nani ktk jamii ya watz.
 
"HIVI MKAPA KWANINI ULIMUUA BABA WA TAIFA!!?"
Huyu dogo hatokuacha kamwe hadi useme ukweli toka rohoni mwako na UTUBU!! Ole wako ujifanye kumjibu........!!!
Ulidhani yameisha!!? Dogo ana sapoti kubwa ya ukweli, na familia inamtumia kama chambo, sasa ropoka uone!!

hahahahahahhahaahaa,mzee naona hii mada umeipenda sana na unamkaba jamaa kiukweli
 
hahahahahahhahaahaa,mzee naona hii mada umeipenda sana na unamkaba jamaa kiukweli


Mkuu sio kumkaba, hii picha ni kali sana wewe subilia kidogo itadhihirika!!
Hakika Tz itarindima! Jiulize jamaa aliomba kupatanishwa na Dogo kwenye familia, alifanikiwa? Baada ya kashifa nzito hizi, badala Mzee ang'ake kwa hasira, akawa mpole na kuomba suruhu!! Tuhuma za kifo tena cha Baba wa Taifa ni nzito, kwanini jamaa awe mpole?
 
Walipwe na vyama vyao kwa maana ya mshahara na marupurupu mengine. Pension huwezi kumuondelea au useme alipwe na chama hiyo itakuwa ni kumuonea.

Kwani yeye kaonea wangapi na hamlioni hilo?
 
Baba yake alikuwa campaigner mkubwa wa CCM toka alipostaafu mwaka 1985 na 1990

Ila walipo boronga aliwaambia live bila kumficha mtu na unafiki unafiki wa ajabu ajabu kama huu walionao viongozi wa sasa hakuwa nao
 
Usibwatuke..
By then kulikuwa na vyama vingapi kisheria?
Nani anabwatuka hapa kati yangu na wewe? Vyama vingi vimekuja 1992 na Nyerere alimpigia kampeni Mkapa wa CCM mwaka 1995. Acha kuchemka wewe mjomba mtupu wewe...
 
Siku zote mi huwa nasema kwamba hili lijibwa mkapa ni lichawi sana na jambazi kubwa la rasilamali zetu so tuliache tu lipate vidonge vyake hadi life kwa pressure na ikidi baada ya hapo twende over-politics tufanye uchaguzi mdogo wa Rais mstaafu ili tumchague hata wasira kuliko hili jambazi undertaker.
BIGUP NYERERE.
mkuu mbona unabadilika badilika sana, be certain plz
 
Ila walipo boronga aliwaambia live bila kumficha mtu na unafiki unafiki wa ajabu ajabu kama huu walionao viongozi wa sasa hakuwa nao
lakini nae alipigia kampeni CCM wakati analipwa pensheni. Ni kupenda pengo unaita mwanya.

Hoja yenu si ni pensheni irudishwe au Raisi mstaafu asipigie kampeni chama chake tu "kama Marais waliopita..." ndivyo alivyosema Vincent "kama Marais waliopita."

Well, kwenye kampeni za CCM baba yake alikuwa karata ya dume la jembe la CCM kwenye kampeni alipostaafu.

Hoja ya Vincent masikini ya Mungu inaharibika hapo tu, hata Baba yake mkubwa did the same!

 
Mimi binafsi ninaona Mkapa anajishusha sana kwa kukubali kuwa mpiga debe wa wabunge. Nakumbuka baba wa Taifa mwaka 1995 wakati ana mnadi Mkapa alikuwa akisema, 'Nipeni rais huyu (akimaanisha Makapa) kutoka CCM, na kuendelea kuwa pia chagua mbunge unayemuona anafaa kuwakilisha mawazo bungeni' hakuwahi mpigia kampeni mbunge yeyote wa CCM, alikuwa anawaacha wananchi wafanye uchaguzi ila yeye alikuwa ame-focus kwenye uongozi wa juu. Na hiyo ndiyo nafasi ambayo rais yeyote mstaafu anaweza kuifanya. Yaani kupiga kampeni mara moja kwa miaka mitano nayo ni kwa rais tu.

Mkapa kajishusha na kuwa level moja na kina Lusinde sasa, matokeo yake ndiyo haya anadhalilishwa na watoto wake. Kwa nini mkapa afuati hata mfano wa Alhaji Ali Hassan Mwinyi?, japo watasingizia umri wake umeenda kupanda majukwaani, ila kukubali kupigia kampeni mbunge ni kujidhalilisha sana. Hata kama unafanya hivyo ili usishitakiwe kwa ufisadi ulioufanya, ni heshima kubwa sana kutulia.
 
Siku zote mi huwa nasema kwamba hili lijibwa mkapa ni lichawi sana na jambazi kubwa la rasilamali zetu so tuliache tu lipate vidonge vyake hadi life kwa pressure na ikidi baada ya hapo twende over-politics tufanye uchaguzi mdogo wa Rais mstaafu ili tumchague hata wasira kuliko hili jambazi undertaker. BIGUP NYERERE.
Mtumishi wa Mungu punguza ukali wa lugha. Do!
 
watanzani kichwa kilichosababisha maisha ya watanzania kuwa magumu sana ni huyu mzee yeye anajihita mr clean yaan mkapa kama ni kilio tulipaswa watanzania wote tukimwona sehemu yeyote hile tunalia kama tumefiwe.
 
Yawezekana unayosema ila baba yake hakufanya ya ubunge,kumbuka wakati mrema anagombea Temake na Mtiro hakujiingiza kama huyu kipuisa Mpimpa
lakini nae alipigia kampeni CCM wakati analipwa pensheni. Ni kupenda pengo unaita mwanya.

Hoja yenu si ni pensheni irudishwe au Raisi mstaafu asipigie kampeni chama chake tu "kama Marais waliopita..." ndivyo alivyosema Vincent "kama Marais waliopita."

Well, kwenye kampeni za CCM baba yake alikuwa karata ya dume la jembe la CCM kwenye kampeni alipostaafu.

Hoja ya Vincent masikini ya Mungu inaharibika hapo tu, hata Baba yake mkubwa did the same!

 
Ni wale wenye upeo mdogo tu ndio watakao mshabikia Vincenti.Mkapa ni Kiongozi Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi, akiwa mwanachama anawajibu wa kukitetea chama chake.Kwa wasiokuwa na kumbu kumbu Mwalim (baba yake Mkubwa) alipiga kampeni za ubunge na Urais kwa chama chake 1995 toka Mara hadi Arusha,mbona hamkupendekeza anyang'anywe pension?.

Huyo dogo atachuza mapema hapo kwa kauli za ovyo ovyo.Historia ya Jimbo hilo ni miaka mitano wanapiga chini, wapiga kura wa Musoma mjini huwa wana tabia kumpenda mtu mwanzoni mwa uongozi wake na baadaye kumgeuza adui.Dogo asiombe yakamkuta, atumie akili.
 
mkuu mbona unabadilika badilika sana, be certain plz

kivipi mkuu? Lakini kuna mchawi mmoja alijaribu kutumia username yangu kupost ushetani wake humu Jf bkoz nilikuwa sijalog-out but Mungu ameshamsamehe kwa wizi wake kama wa Majambazi CCM.
 
Mtumishi wa Mungu punguza ukali wa lugha. Do!

hamna dada Jane kwani unajua haya majambazi CCM especially kwa hili gaidi(mkapa) pasipo kutumia lugha kali hayawezi kusikia kabisa. Mungu asiyasamehe kabisa haya majambazi CCM kwani yanajua ushetani na wizi waufanyayo juu ya rasilimali zetu.
 
Wenzetu wa Malawi waliweza kumuondolea pensheni rais mstaafu kwa kushiriki siasa akiwa mstaafu.
Watanzania bana!

Katiba mpya itabidi ieleze wazi kuwa kiongozi akistaafu,marufuku kujihusisha na siasa.Badala yake ajikite kwenye mambo ya kijamii ya kitaifa na kimataifa,au akae kimya kabisa amalizie maisha yake kwa amani na utulivu.
 
Back
Top Bottom