Nyerere angekuwepo leo kwenye sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar, angekaa kimya kama viongozi wengine?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Hivi baada ya Bango lile kuletwa hadharani na kama Mwl.Nyerere angekuwa pale meza kuu,hivi kweli angesubiri sherehe zile ziishe bila kukemea kama tulivyoshuhudia leo hii?

NB:Leo mbeba lile bango kaitwa mwananchi(sio mwanachama wao tena), hivyo sitashangaa kesho akiitwa pandikizi kutoka upinzani.
 
Nyerere mwenyewe alishiriki kwenye hayo mapunduzi yanayoitwa matakatifu.
 
Mkuu salary slip bango limeandikwaje wengne tuko kwenye vimbweta tunameza tu
 
Hivi baada ya Bango lile kuletwa hadharani na kama Mwl.Nyerere angekuwa pale meza kuu,hivi kweli angesubiri sherehe zile ziishe bila kukemea kama tulivyoshuhudia leo hii?

NB:Leo mbeba lile bango kaitwa mwananchi(sio mwanachama wao tena), hivyo sitashangaa kesho akiitwa pandikizi kutoka upinzani.
umejalibua kumulza makongoro nyerere mkuu?
 
Walikodisha mamluki kupindua wao wakaja kupiga kelele.......uoga mbele maneno weeee Okello ndio aliepindua sio wao!! Subiri uje usikie maneno meengiiiiii hamna kituu
 
Back
Top Bottom