Nyerere angegombea urais kwa Tiketi Ya Upinzani angeweza Kushinda?

shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,765
5,153
Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo

1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao?
2.Aina ya mfumo uliopo hautoi fursa sawa kwa wote
3.Je upinzani ufanye nini kuyatoa au kupunguza hayo mawili hapo juu.
4.Je Mwl.J.k.Nyerere angegombea Urais kwa tiketi ya upinzani katika mfumo huu tulionao sasa matokeo yangekuwaje?

Nawakilisha
 
I have never seen the DEAD RISING!..huh!...Worse, contesting in ballots...my genitals!
 
Mwalimu atagombeaje? Unazungumza kana kwamba yu hai? Afadhali ungesema "Mwalimu angekuwa hai na akagombea upande wa upinzani matokeo yangekuwaje?" Jibu langu: angeshida! japo kwa mbinde maana SISIEM wangejitahidi kummaliza na propaganda zao kwa udi a uvumba. Angeshinda kwa vile alijulikana kwa watanzania wote kuanzia watoto hata vikongwe, kuanzia vijijini hadi mijini. Alijuliakana kwa wasomi na kwa wale wasiokwenda shule kabisa.
 
Tuwache alale kwa amani maana kwa sasa kuna usanii wa kisiasa na sio wanasiasa ni waigizaji, hivyo sisi ndio wa kujenga siasa safi
 
kwanza akifufuka, watu wayamkimbia nakumuogopa, wale wote waliomlilia kwanini amekufa mapema hakika hawatageuka nyuma. KWANZA usifufuke , tunajiandaa kukutangaza mtakatifu, nakizazi hiki hakuna mtakatifu anaeishi.
RIP Nyerere JK
 
Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo

1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao?
2.Aina ya mfumo uliopo hautoi fursa sawa kwa wote
3.Je upinzani ufanye nini kuyatoa au kupunguza hayo mawili hapo juu.
4.Je Mwl.J.k.Nyerere akigombea Urais kwa tiketi ya upinzani katika mfumo huu tulionao sasa matokeo yatakuwaje?

Nawakilisha

Mkuu nafikiri hapo nilipobold ingesomeka, angegombea italeta maana zaidi na kuwarudisha watu kwenye mada.

Mchango wangu: Kama Nyerere angegombea urais kwa ticket ya upinzani ANGESHINDA Maana wangeogopa kuiba Kura kwa kuhofia influence aliyokuwa nayo Jeshini (Kipindi hicho watu wa mkoa wa Mara ndiyo waliokuwa wameishikilia JWTZ(Jeshi la Wakurwa Tanzania)) kama tulivyokuwa tukiliita.
 
-Mwalimu Njyere angegombea angeweza kushinda kwa kuwa hadi sasa kutokana na uelewa potofu wa elimu ya uraia TZ still wanaichagua CCM kwa sababu alianzisha nyerere

-Pia kama uelewa wa wananchi ukiimarika Nyerere hatashinda kama tume ya uchaguzi na mambo mengine yataendelea kuwa hivi hivi
 
''Mwl.J.K.Nyerere Akigombea Urais Kwa Tiketi Ya Upinzani Anaweza Kushinda?''

Titile yako imenifanya nikubali kabisa kuwa nchi hii bado 'anaongoza Nyerere' kila kitu kinachoendelea na aina ya kama vile ukondoo zote hizi ni influence za Nyerere.

Hakuna rais aliyeweza kuvaa viatu vya Nyerere au hata kumfikia japo robo, aliamini mambo yake na kuyasimamia na kuyafanya kwa lengo la na manufaa ya jamii. Hata kama vilienda vibaya he did for good reasons.

Kuthibitisha hayo ndugu Shungurui anaona na bado anaweweseka na Nyerere, kwani angetokea wa kumfunika tusingesikia habari zake kwa sana; failure kubwa ya CCM waliobaki ni kutomfahamu japo kuwa na same integrity kama Nyerere hata kama wangebadili mfumo wa siasa.

Today CCM hii siyo ya Nyerere yule, na ndiyo maana mtoa maada anauliza ingekuwaje

Angekuwa hai, hata angeenda TLP achilia mbali kusimama mwenyewe bado angeshinda na kuwaacha mbali sana wengine wote.

Alikuwa honesty, alikuwa ''kizuri chajiuza....
 
hivi kweli ni mtu gani mwenye akili timamu anayeamini kuwa CCM wanashinda kwa kura na sio kwa kuchakuliwa na NEC
 
Wacha Nyerere, hata mtoto wa Nyerere akisimama kugombea kuwa rais wa nchi hii atashinda tena kwa kishindo! Jina hilo linabeba kila aina ya sifa za kizalendo.
 
watu walikuwa wamechoka na marehemu DICTATOR NYERERE hata kama angeligombania kwa upinzani basi pengine angepata kura 2 .yeye na mkewe .who the hell want ujamaa idealogy in this moderm age.siasa yake ilifeli ndio maana mpaka leo ,poverty poverty poverty.I will say he could be better managing a village than a country.the guy was useless just too much blah blah blah .nothing special
 
Kama angegombea,angeshinda,ingekuwa faida gani kwake kama hana wabunge,sera zake angezipitisha vipi?
Lakini,this is a valid question,mgombea Urais ambaye siyo wa CCM anaweza kweli kushinda? Lakini kama ni hivyo,kwa nini CCM inaogopa mgombea binafsi?,kwa nini CCM inaelekea kutishwa na Chama kipya cha CCJ?
 
watu walikuwa wamechoka na marehemu DICTATOR NYERERE hata kama angeligombania kwa upinzani basi pengine angepata kura 2 .yeye na mkewe .who the hell want ujamaa idealogy in this moderm age.siasa yake ilifeli ndio maana mpaka leo ,poverty poverty poverty.I will say he could be better managing a village than a country.the guy was useless just too much blah blah blah .nothing special

na babu yako aliyekuwepo kipindi Nyerere anaongoza alikaa kimya tu kuona JKN anafanya hayon yote? baba au babu yako walikuwa wapi mpaka wanamuachia mtu dikteta kushika nchi?

however, hujasema ali 'dikteta' nini! kuna uwezekano mpaka leo hii amekufa haujamwelewa alikuwa anataka nini! ikiwa hivyo mkuu napata shida, kuwa JKN brain was 15yrs ahead of you...LOL!
 
Kwa CCM hii ya sasa iliyojaa Ma -capitalist na mafisadi kuna kila dalili Kama Nyerere angekuwa hai na kugombea kwa chama kingine nje ya CCM, ninahisi angeweza kushindwa,kwa sababu wangetumia nguvu yao ya pesa kuwalaghai wapiga kura,lakini pia angezingiziwa mambo mengi sana ya uzushi.

,Isingekuwa ajabu kusikia wananchi wakiambiwa kwamba kumchagua Nyerere ni kuchagua vita,watu wangekumbushwa vita ya Uganda na matokeo yake,lakini pia wangeweza kumzingizia kwamba si raia wa Tanzania hata kama aliwahi kuwa raisi,watu wangeambiwa Nyerere ni raia wa Kenya kwa sababu tu anatoka mkoa unaopakana na Kenya.
 
Back
Top Bottom