Nyerere alitabiri urais kwa dr slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere alitabiri urais kwa dr slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 13, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu kama mtakumbuka Marehemu Nyerere alisema,anataka rais anayekerwa na umaskini wa Tanzania na anajua hilo,hapo alimzungumzia Slaa,Rais anayechukia mafisadi na Rushwa hapo pia ni Slaa,Rais bora na sio bora Rais hapo pia ni Dr Slaa,Anayetetea Maslahi ya nchi,Asiyependa ukabila na ushikaji na ukimtazama aonekane kutoka moyoni hapo ni Slaa.Pia alisema Jk bado asubiri,Watanzania wakamwahisha kwa hiyo mmeyaona wenyewe
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kweli tupu
   
 3. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anayechukia rushwa na tukimtazama machoni tumtambue. Siku hizi CCM wanaogopa kutaja neno RUSHWA aibu zimewajaa.
   
 4. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Wala rushwa wamepewa jina jipya na mkwere eti wanaitwa "Jembe la zamani haliishi makali!" nadhani ni makali ya kuendelea kula rushwa.
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Masahihisho mkuu, alisema "Panga la zamani haliishi makali!" Please take note!!!
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Nyerere vilevile alisema watanzania wakimkosa kiongozi bora ndani ya CCM watamtafuta nje ya CCM.

  Ndani ya CCM ni Merikebu ya mafisadi na CCM sasa siyo tena Chama Cha Mapinduzi ila ni Chama Cha Mafisadi.

  Ndiyo maana Raisi anayemaliza muda wake amewakumbatia mafisadi kwa nguvu zote kwa sababu na yeye ni FISADI NAMBARI WANIIIIIIIIIIIIIIIIIII...................................................................................................................
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,001
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  AKA, MIE SIMJUI MKWERE, NAMJUA RAIS ANAETETEA WANYONGE, NI DR.SLAA PHd TU NDO ATAKAWEZA KUTUVUSHA KWENDA NG'AMBO YA PILI.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Slaa mwenye PHD ya ukweli sio kama JK,ANAKERWA NA UMASKINI WETU
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyu mkwere analilia apate miaka mingine mitano ili atuibie na sio kutuletea maendeleo; we angalia kwa muda huu mfupi aliokaa madarakani alivyoweza kulimbikiza mali[ Makasili aliyojenga kwao kijini Msoga katikati ya matembe ya jirani zake pamoja na Majumba ya pale Regent] .Hapo bila kutaja fedha alizofichiwa huko nje na wachimba madini yetu na wakina Patel!! Jamaa ni mwizi hafai kuwa kiongozi!!
   
 10. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ishu sio ukwere jamani, huyu jamaa hafai tu, tupo wakwere wazuri tu... Mimi ni mkwere, dr slaa hoyeee!!
   
 11. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kweli, wakati mweingine watu hujisahau wakaanza kutukana wasio na hatia! Umenikumbusha ile ya Makamba na watu wa Kariakoo. Yes, ni Yeye kama Yeye, J M K na si kwa sababu yeye ni Mkwere, au yeye ni mjeshi mstaafu, au Mwislamu au Mwanamume au Mtz! Asante kwa kukumbushia hii:A S thumbs_up:
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hakuna ubishi
   
 13. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena Mwalimu alisema hata ukimtazama usoni utajua msimamo wake utauona.
   
 14. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa Mwl alimuona mapema mstakabali wake, akasema dogo tulia, bado mtoto hii kazi huwezi. Baba wa taifa alipotoweka duniani (Mungu amrehemu), jamaa akapiga makofi kuwa tayari mambo yameiva. Hivo nachelea kusema jamaa alipanga tokea zamani kuwafanyia uhuni waTZ.
  Huyu yupo kimaslahi zaidi ndo maana anang'ang'ania ili amalizie kukusanya.
   
Loading...