Nyerere alimuingiza kingi karume kumsainisha dole gumba hati za muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere alimuingiza kingi karume kumsainisha dole gumba hati za muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jul 19, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni kichekesho lakini nazani kuna ukweli.
  Nasikia Karume alikuwa hajasoma shule na nyerere alikuwa University graduate, Nyere akamuita Karume akampa dili linaloitwa muungano akamuonyesha makaratasi yenye viherufi vidogo sana karume akamwambia Nyrere weye nisomee tu yakhe! Nyerere akamsomea akamwambia Karume haya tia sahihi, kwa sababu karume alikuwa kilaza ikabidi aweke dole gumba bila hata kusoma nini kimeandikwa. Akaenda kumsimulia Abdurahman Babu ambaye ndio alikumwa msomi pekee zanzibar, babu akamwambia imekula kwake akamwambie akatae . wenzake walichukia sana kwa sababu wote walikuwa hawajui kusoma wakakutana kwenye kibanda cha kahawa wakimsubiri babu awasomee mkataba. babu alipowasomea ule mkataba kwa hasira wakamuua karume, lakini hata wale waliomuua walikuwa hawajui kusoma.
  Na hadithi yangu imeishia hapo hapoo!
   
 2. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 904
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  sasa nenda kalale baada kutwambia inatufunza nini hiyo hadithi
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ngoja waje mimi simo
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  nakuombea upotelee kwenye ajali itakayofuatia ZN>Z,

  usimaindi signature yangu, haitakusaidia......
   
 5. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana, bado unatunga hadithi tu! Kwa bongo hii, utatunga nyingi sana!
   
 6. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2014
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 8,974
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hadithi hii imetufundisha mengi... na mambo yanayoendelea ni kama Jipu linaloiva kwa kasi bado kutumbuka lenyewe na wala si kutumbuliwa....
   
Loading...