Nyerere alikuwa nabii wa Tanzania

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
Heshima kwenu mabibi na mabwana,

Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, katika hotuba zake nyingi alikuwa akipenda sana kuzungumzia mambo yajao, na mengi aliyokuwa akiyasema yametokea na yanaendelea kutokea.

Kati ya hotuba zake nilizowahi kuzisikiliza ni hii aliyosema mmeanza kuuza dhahabu, mtauza hata makaburi ya babu zenu,
Naona tuendako hii kauli itatimia kama CCM na serikali yake haitabadili uelekeo,
 
Sasa dhahabu ulikua unataka tukatongozee?simply hamna uchumi bila Trade hata Dubai huko mafuta yaisha siku moja
 
Na hivi walivyobanwa na MCC wataua tembo wote, watauza twiga wote, ngedere, n.k.
Mkuu walishatuambia kuwa tutajijua wenyewe hata tuvimbe Na kupasuka, wAo maisha yanaenda ule msemo wa Kila mbuz anakula kwa urefu wa kamba yake kusimama ktk nafasi
 
Sasa dhahabu ulikua unataka tukatongozee?simply hamna uchumi bila Trade hata Dubai huko mafuta yaisha siku moja
Ni kweli Muungwa Mwalimu ali lalamikia vingi hata uuzwaji wa NBC alikuwa ana hoja na haki kwani wauzaji walikuwa wanauza mashirika ya uma aliyo yavujia jasho at a throw away price na hata yale yaliyo kuwa yana zalisha faida ikidaiwa ni utandawazi,na hata hiyo dhahabu haina na tija kwa Watanzania tumeliwa pale tanzanite nayo ndio hivyo hivyo yote ni kutokana na mikataba mibovu iliyo ishia kuneemesha wachache,ukielezea Dubai imenufaika sana na rasilimali zake na pato lake limetumika vizuri na sasa Dubai kwa kujua kuna mwisho wa rasilimali ya gesi na mafuta imegeuka na kuwa centre of Arab world kibiashara na imewekeza sana kwenye hilo.
 
Huyo kada mtiifu anajifanya haoni, lkn ukweli moyo wake unamshuhudia, CCM INA laana ya nyerere
 
Kama Mwalimu angesimama upande wa haki katika uchaguzi wa Zanzibar mwaka 1995 huenda tusingefika hapa tulipofika
Tumefika hapa kwa tamaa za baadhi ya watu, Mwalimu alijitahidi alivyoweza alikuwa Na nia njema Na watanzania, bahati mbaya Mzee wa malofa ndo alikuja kuharibu Kila kitu
 
Mimi sina uanachama wa chama chochote,kwahiyo sishabikii ujinga wa mtu au chama eti kwa kujifanya mshabiki wake bali nitapongeza au kukosoa yoyote hata huyo lowassa wenu nilimpinga akiwa ccm na hata alipohamia huko ukiwa,maana wewe inaonekana ni nyumbu wa ukiwa ni watu wa kuburuzwa tu.
Wanafiki wote sehemu yao ni ktk ziwa liwakalo moto kwa kiberiti
 
Tumefika hapa kwa tamaa za baadhi ya watu, Mwalimu alijitahidi alivyoweza alikuwa Na nia njema Na watanzania, bahati mbaya Mzee wa malofa ndo alikuja kuharibu Kila kitu
We bwana unaelewa dynamics za uchaguzi ule wa 1995? Je wajua kuwa CUF walishatangazwa rasmi washindi kupitia DTV kabla Nyerere hajaenda na kugeuza matokeo kama Jecha?
 
Hayajatimia aliyoyakusudia akiwa hai yatatimia kisha kufa?

Au umeshauza kaburi la babu yako?

Mimi nnaona kaburi lake ndiyo linauzwa kwani nasikia kuna kiingilio unalipia ukienda kuzuru mzimu wake.
Nilitegemea ujio wako wa aina hii, hivi Mwalimu alikosea nini hasa pamoja Na umarehemu wake chuki zako bado ziko juu
 
Back
Top Bottom