Nyerere alikuwa anapeleka midahalo chuo kikuu

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,740
2,000
Nyerere alikuwa anapeleka midahalo chuo kikuu cha dr es salaam,bashite anapeleka wanenguaji
Ngoja nikubali kuaminishwa kuwa bashite ana akili kuliko nyerere,maana Nyerere alikuwa anawapelekea wana chuo midahalo ili kuwajengea wanacho uwezo wa kujieleza,na kuhoji lkn kuna baadhi ya watanzani wanaona alichokuwa anafanya baba wa taifa mwl Nyerere hakina maana baadhi ya watanzania wenyewe ni bashite na wale vijana wanaohama vyama vya upinzani,wanatuambia kuwa kwa bashite kupeleka wanenguaji chuo kikuu cha dr es salaam ni mbunifu kuliko mwl,nyerere
Maisha yanabadilika kwa kasi sana,chuo kikuu kutoka kwenye tamaduni diskasheni za kushindanisha hoja mpaka kuwapelekea wana chuo ndombolo za kukata viono kama wakongo man
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom