Nyerere Alijua Mapinduzi Yanakuja; Akaamua Kuachia Ngazi Mwenyewe

nyerere alikuwa dictator wa mawazo,anachotaka yeye ndo sawa.kumbuka zidumu fikra
alijua hawezi ongoza kukuwa na vyama vingi watu wangesema udhaifu wake hadharani.aliongoza kirahisi wakati haki za binadamu haziko ktk katiba.bill of rights ilowekwa kwenye katiba 1985
Nyerere hakuwa dikteta. Kama angekuwa angekamatwa kwenye handaki. Au shimo la panya.
 
Back
Top Bottom