Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,856
7,615
Kwakuwa article ni ndefu na inaweza kuwasumbua watumiaji wa simu, ukiweza bofya hapa Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika

Lakini inshort, yaliyopo kwenye article hiyo baadhi yake ni haya

When the former Tanzanian President Julius Kambarage Nyerere made the above address to his National Assembly that "the union between Zanzibar and Tanganyika is the most misunderstood aspects of Tanzanian's political development" proved that he is the only Tanzanian who knows "the manner and the implications of the union" after British colonialism in East Africa.

During the British colonialism, Zanzibar was the only intellectual center for Islamization of East African countries under the Zanzibar Sultanate. The Gofu and the Barza Mosques allowed students from the East African countries for the Islamic education. The Zanzibar Muslim Academy also offered the greatest hope for the vibrancy of Islam in East Africa.

Nyerere, a devout Catholic saw that the Islamic Zanzibar state, a threat to Christianity. He masterminded a clandestine movement for the so called Zanzibar Revolution under the leadership of John Okello, a radical Christian from Uganda. It was not only a prelude to the creation of Tanzania, but a continuation of crusade against Islam and extension of Christian colonialism.


When Zanzibar gained independence on December 10, 1963 from the British government, it became a member of the Commonwealth nations. It joined the United Nations on December 16, 1963 and was represented by Hilal bin Muhammed bin Hilal. But when the new Zanzibar Government declared to form the model of the Islamic State, it was orchestrated by Afro-Christian Crusaders as reincarnation of Arabisation and revivalism of Islamization.

They invaded Zanzibar in the midnight of January 11, 1964 under the self-appointed "Field Mashal" John Okello, a militant Christian from Uganda. The objective of the Zanzibar revolution was a Crusade against Islam as Okello stated in his book entitled Revolution in Zanzibar that God appointed him to make revolution for the sake of Christianity. He then quoted the following Biblical passage for his justifications:


 
anaye MKASHIFU NYERERE KWAMBA ALIKUWA NI MDINI HALI ANAZISIKIA HOTUBA ZAKE ZILIZOREKODIWA,ANAYE SEMA NYERERE ALIKUWA MBAGUZI NA HALI JITIHADA ZAKE ZA KUPAMBANA NA UBAGUZI ZINAFAHAMIKA HUYO ATAKUWA NI KAFIRI.
 
It pains alot for the muslims. It has been said in the Quran by God that "they will not be your friends until you accept what they're telling you " (even though they avails to Allah's oders).
 
Kumbe JKN amewasaidia sana. Angalia Nigeria, Somalia, Mali, Sudan na Middle East.
 
Inatakiwa akili ya namna gani ili mjue kuwa Nyerere hakua mdini?
"
Nyerere anaweza kuwa aliboronga lakini pqio kwenye sualg hili!
 
does this fool knows it was karume who begged for union fearing iminent revolution by schooled zanzibaris from cuba the like of kassim hanga and abdulrhaman babu??? this dude is seriously misinformed!!!! kama nyerere angetaka uislam uishe asingeungana na zanzibar akaacha nchi ichukuliwe na wacomunist nliowataja apo juu!!!
 
It pains alot for the muslims. It has been said in the Quran by God that "they will not be your friends until you accept what they're telling you " (even though they avails to Allah's oders).

Not by God, it is by Allah naomba usituchanganye. Haya endelea
 
Ukristo au uislam vyote tumepokea kutoka kwa waliotutawala. Bahati mbaya waliotawaliwa na tamaduni za kiarabu walitawaliwa mpaka nafsi. Babu zetu walimjua Mungu na walikuwa na taratibu(dini) zao za kumwabudu ila waliposhindwa vita zilitupwa na kuitwa za kishenji. Mungu hakuumba vyote? Wapi manabii na mitume weusi-Acheni kushabikia vya nje!!
 
Nimeona umenitukana.
Hata hivyo nitakujibu.

Mimi kila nilichoandika kuhusu Nyerere nina ushahidi.
Kitabu changu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes..." kimechapwa London mwaka 1998.

Nyerere yu hai na alikisoma.
Sikusuburi afe ndiyo nizungumze habari zake.
 
Hizi dini mbili kuu zimeshakomaa hakuna wa kuziondoa labda mwenyezi Mungu pekee. huko tunakokwenda vijana hawatkubali haya mambo ya udini. Kuna watu wana uwezo wa kujenga hoja kuwa mwalimu alipiga vita uislamu lakini hwasemi alifanikiwa kiasi gani. Jamani tuachane na hizi chokochoko za udini. hakika mwalimu angeuchukia uislamu sijui kama Tanzania wakristo na waislamu wangeishi kwa amani kama tunavoishi sasa. wanaomsema mwalimu ndio wanataka kuondoa hii amani kwa hoja zao potofu. tusiwakubali.
 
mnasubiri afe ndio mumshambulie, people like Mohamed Said are simply spineless b.astards/

Nimeona umenitukana.
Hata hivyo nitakujibu.

Mimi kila nilichoandika kuhusu Nyerere nina ushahidi.
Kitabu changu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes..." kimechapwa London mwaka 1998.

Nyerere yu hai na alikisoma.
Sikusuburi afe ndiyo nizungumze habari zake.

Nadhani ushaelewa kuwa uoga si sifa yangu.
Lete jingine kama lipo.
 
Sasa inasaidia nini kumjadili marehemu au ndiyo mwendelezo wa kupandikizana chuki za kidini? Kuna watu walikuwa wadini tangu zamani,Mwl Nyerere alikuwa anauchukia sana udini ili kudumisha amani.Hivi angekuwa mdini kwa kiwango mnachomchafua angeweza hata kukabidhi madaraka kwa Mwinyi? Acheni udini tulijenge taifa kwani kwa namna mnavyoenenda ni kuishiwa hoja.
 
Back
Top Bottom