Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 803
- 861
Michepuo iliyopo ni PCB,PCM,CBG NA HGL. Kwa wale wenyeji wa Musoma waweza kufika shuleni kuchukua form wenyewe. Shule ni ya kikatoliki na ina sifa zote,bweni kwa wasichana na wavulana,kuna maji,umeme wa grid na solar,ufaulu mzuri kwa miaka yote.
Kwa wale walokwisha pita hapo wanaelewa,kwa mawasiliano piga 0789443404 au 0787700138(mkuu wa shule)
Kwa wale walokwisha pita hapo wanaelewa,kwa mawasiliano piga 0789443404 au 0787700138(mkuu wa shule)