Ha ha wildlife is about live and death,this is nature. Hapo watakuja fisi kula mzoga na vultures (mandege yale).Nyati jicho limemtoka masahibu
halafu akala kona na familia yake.
Huyo nyati ndo amekufa hivyo....Ha ha wildlife is about live and death,this is nature. Hapo watakuja fisi kula mzoga na vultures (mandege yale).
Lazima atakufa kwa majeraha. Na kama kaumizwa fresh cuts basi nzi ndio watakao muua,watamkera,watampa bakteria atapata maambukizi atakufa.Huyo nyati ndo amekufa hivyo....
sijui ilikuaje hakutoka baruti mpaka kupokea kichapo chote hicho, ila nasikiaga wanasema nyati hawaoni....wanaojua watueleze.Ha ha wildlife is about live and death,this is nature. Hapo watakuja fisi kula mzoga na vultures (mandege yale).
Ni kweli nyati anauwezo mdogo wa kuona,mara nyingi hutumia pua na masikio yake kunasa hatari. Pia nyati hasa dume huwa ni wazito kujihami kwa kukimbia hatari. Ni wazi tembo alimfuata kirahisi na kumpiga na kumkanyaga kanyaga kirahisi kabisa. Bulls are protective na viburi.sijui ilikuaje hakutoka baruti mpaka kupokea kichapo chote hicho, ila nasikiaga wanasema nyati hawaoni....wanaojua watueleze.
Aiss...angekuwa kauwawa na binadamu watu wasingelala...nyati nayeye ni mzito hufikia kilo zaidi ya mia 5, sasa kitendo cha kunyanyuliwa na kushushwa kwakweli uzito na gravitation force lazima mifupa yote ivunjike....alikufa huyo
Hiki kichapo ilipaswa apate chui au simbaAiss...angekuwa kauwawa na binadamu watu wasingelala...
Me too I wonder what sparks the fight ! Something went wrong somewhereHawa huwa sio maadui sijui imekuwaje hapa
Looks weirdMe too I wonder what sparks the fight ! Something went wrong somewhere