Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,764
- 2,347
Biashara ni matangazo.
Hili tangazo la Nyati Cement si tu linaburudisha , lakini linaitangaza vema cementi ya Nyati.
Leo mjukuu wangu kaniuliza kama nyumba tumejengea cementi ya Nyati!!
Hii ni baada ya kuona jamaa wale na foreman wao wameshindwa kuibomoa kwa minyundo, mashine, na sasa baruti hadi mawe yanayoanguka mlimani.
Jamaa waliotengeneza hiyo adver, big up!