Nyarugusu: Huduma za Kijamii kama maduka, hoteli, baa, mabucha zimesimama. TRA wanadai Mashine za EFD

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
583
Hali ya Uduma za Kijamii Nyarugusu si Shwari,TRA Wamefungia Maduka,Hotel,Mabucha,Bar na uduma nyingine wakiwataka wafanya Biashara watumie Mashine za Electronic.
Hali sio nzuri toka jana mji umetulia sana.
 
TRA wamejaa mambumbumbu. Sasa wanadai kodi hadi kwa watu wanaouza exempt supplies kama hawa wenye mabucha?
All non value added food stuffs (un processed food stuffs) are exempt supplies that means they are not taxed. Only some levies are paid onto such kind of goods.
 
TRA wamejaa mambumbumbu. Sasa wanadai kodi hadi kwa watu wanauza exempt supplies kama wenye mabucha?
All non added value foods (unpack aged goods) are exempt supplies that means they are not taxed. Only some levies are paid onto such kind of goods.
Who Told you EFD inakusanya Kodi au Inatoza Kodi Aim ya kutumia EFD ni Kukusanya Taarifa za Mauzo na Siyo Kukusanya Kodi kama Unavyofikiria.
 
Wewe unafikiri watu wote ni mbumbumbu sio? Kwani lazima utetee kila kitu ndugu? Mengine pita kimya kimya tu unless una mkataba wa kutoa maoni kwenye kila thread.
 
That is a lie behind the story...
Mama Acha Kusoma Kodi kijujuu tuu hebu Soma Notes katika Second Schedule ya Exempt Supplies.

  1. For the purposes of this item goods shall be regarded as unprocessed if they have undergone only simple processes of preparation or preservation such as freezing, chilling, drying, salting, smoking, stripping or polishing.
  2. None of the above can be exempted when they are supplied in the course of catering by a restaurant, cafeteria, canteen or like establishment.
 
Ehee! Good, mimi nahusika na hiyo namba moja. Nimehoji uhalali wa mabucha kulipishwa kodi.
Kwenye restaurants, nimefunga mdomo wangu. Wala sijalalamikia huko...
 
Baada ya kukusanya taarifa za mauzo then what next ?
Tracking. Wewe leo umekula nyama, ukaumwa kwa kuwa nyama siyo nzuri. Mwenye bucha akikataa kuwa siyo yeye aliye kuuzia, then what?

Risiti ni muhimu sana, kwa kila biashara, iwe inalipa kodi au laa. Umeshasikia msemo unaosema Information is the key? The more information tutazoweza kukusanya the more precise the decisions we can make.

Yaani kadri utakavyopata information (correct information) ndo uwezo wa wewe kuweza kufanya maamuzi mazuri zaidi.

Ila tatizo hizo EFD ni expensive sana. Serikali/TRA wangetafuta more affordable way or devices kwa ajili la risiti na record. Kwa biashara kama ya butcher, kupata laki ngapi hizo kwa EFD na kwamba biashara inafungwa mpaka ununue ni tatizo.
 
Nenda hata TRA ukaulize why EFD , jibu ni kufahamu unapata sh ngapi ili ulipe kodi inayostahili baaaasi ! Hakuna kingine chochote tena , fuatilia hata majukumu ya TRA , si hayo uliyoandika hapo .
 
You are missing 2 important points
1. Kuwa na taarifa haimaanishi unataka au unauwezo wa kuzitumia sasa hivi. Ili mradi taarifa zipo, 2yrs or 5yrs mbele unaweza make decisions kupitia taarifa unazozikusanya. Huwezi kuanza kutafuta taarifa wakati ndo unataka kumake decision. Yaani uanze mikiki ya kulazimisha EFD wakati bunge linataka kupitisha sheria? Anza mapema.

2. Kama wewe biashara yako inakuruhusu kuwa Tax exempted, EFD haiwezi badilisha hilo. Uwe nayo usiwe nayo bado ni exempted tatizo lako nini?

Na probably siyo maduka yote yamefungwa kwa sababu ya EFD. Unaweza kuta ni operation ya EFD na TIN number, inaweza kuwa butcher zimefungwa kwa ukosefu wa TIN number while maduka mengine ni kwa ajili ya EFD.

Kama nilivyosema mwanzo, tatizo bei za EFD ambapo bei yake haiendani na biashara yenyewe.
 
Mbona abood na najimunisa hawatumii efd? Mafuso na kirikuu hazina efd, bodaboda na najaj wao hapana? Kwahiyo kodi ziko madukani tu? Naona kuna mtu uwezo wake wa kufikiri umefika ukomo
 
Trafiki hawatumii efd hawataki hata kuandikiwa cheki bado mnakomalia bucha za nyama, haya mambo mbona moshi hayapo? Ni mwanza geita shy pekee?
 
Hali ya Uduma za Kijamii Nyarugusu si Shwari,TRA Wamefungia Maduka,Hotel,Mabucha,Bar na uduma nyingine wakiwataka wafanya Biashara watumie Mashine za Electronic.
Hali sio nzuri toka jana mji umetulia sana.
Mbona mabucha ya dsm
Hayana efd?
Hao wapuuzi wa huko wanataka vyeo ili wahamishiwe dsm ama?
 
Mbona abood na najimunisa hawatumii efd? Mafuso na kirikuu hazina efd, bodaboda na najaj wao hapana? Kwahiyo kodi ziko madukani tu? Naona kuna mtu uwezo wake wa kufikiri umefika ukomo
Well said
 
Back
Top Bottom