Nyaronyo kicheere makala kwanini waislam walikokaa waarabu (reli ya kati)ni walalamishi?

MASEBUNA

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
243
54
Nimesoma makala mbili za Nyaronyo Kicheere kwenye mwanahalisi zilinivutia sana, Badala ya kulalamika amewataka waislam kutumia fursa zilizopo kujiendeleza na amewataka Waislamu kuwa kama wenzao waislam wahindi, wamachame na same ambao huwezi kuwaona wakilalamika kama wa Dar, Pwani, Kigoma naTabora kwa kufuata reli ya kati walipokaa waarabu tu.
 
siku zote hakuna anaye lalama bila sababu na kukaa kimya si kuwa wameridhika .na pia ukiona mtu anawafuatafuata watu fulani au jamii fulani jua kuna jambo ananufaika nalo au kuna maslai fulani anategemea.mwanahalisi halina nia nzuri na waislam
 
Hii ni mara ya pili nakuandikia ujiitaye washawasha. Kwanini umeshindwa kutafuta picha ya kutumia kwenye avatar hadi unaendelea kutumia picha yangu? Kama mtandao haupandi si useme usaidiwe? Basi badili na jina uitwe mpayukaji kama u kihiyo hivyo. Kuhusu Nyaronyo ni vizuri tukasoma hizo makala ndipo tuchangie kwa kina.
 
Back
Top Bottom