Nyarandu kutumia helikopta kwenye kampeni zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyarandu kutumia helikopta kwenye kampeni zake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUKUTUKU, Oct 27, 2010.

 1. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mgombea ubunge jimbo la singida magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM),bwana Lazaru Nyarandu amepanga kutumia helikopta katika kampeni zake,katika siku mbili za mwisho.Nyarandu amesema amechukua uamuzi wa kukodi helikopta ili aweze kuwafikia na kuwakumbusha wapiga kura waliopo kwenye kata mbalimbali za jimbo hilo,kumpigia kura(The Citizen,26 Octoba 2010.u.k 4)

  My take
  Kweli mwaka huu hakuna kulala, jamaa ameamua kukomaa kwelikweli!kama sijakosea huyu ni mpinzani wa Mgombea ubunge kupitia chama cha democrasia na maendeleo(CHADEMA),bwana Tindu Lissu,napata picha patakuwa hapatoshi,hakika hili ni jimbo la kifo.
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tindu Lissu ni Mtu makini anayehitajika katika Bunge letu lijalo kwani atasaidia sana serikali ya Rais Slaa.Wananchi wa Singida Magharibi msimwangushe mpambanaji huyu.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  [Tindu Lissu ni Mtu makini anayehitajika katika Bunge letu lijalo kwani atasaidia sana serikali ya Rais Slaa.Wananchi wa Singida Magharibi msimwangushe mpambanaji huyu. originally posted by Mmaroroi ]

  Ni kweli ulichokisema,lakini sina hakika kama wananchi wa singida hawadanganyiki!
   
 4. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tundu lisu hagombei jimbo moja na nyarando. Ccm mabingwa wa copy & paste, hawapendi kusumbua bongo zao, hawasomi hata taarifa zao wenyewe. Naamini jk alikuwa anashangaa takwimu za gharama mashimo ya choo jimboni kwake kuwa kubwa kiasi kile.
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,226
  Trophy Points: 280
  Hataki kuumia mgongo kwenye makorongo barabarani.
   
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kwa Jinsi navyo mfahamu huyo Nyarandu akidhamilia kweli inakuwa ni kuwa anamichongo mingi sana maana muda mwingi twajua anatumia nje ya bunge kutengeneza pesa yake na kwa mwaka kumwona bungeni ni mara chache sana ila huko kwao amewamwagia visima vingi vya maji kwahiyo kupita kwake ni rahisi sana. Ni mtu wa mishe mishe sana mpaka ma senator wa USA baadhi wana mfahamu Nyarandu nyie huwezi amini, na kwataarifa makazi yake makuu ni Arusha mjini na huwa katika one of the 5 stars Hotel ndiko makutano yake mengi hufanyikia pale.
   
Loading...