Nyarandu azipigia debe kampuni za ndani

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
nyalandu.jpg



NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu

ametoa wito kwa taasisi za serikali kutumia nyaya za umeme zinazozalishwa na kampuni za ndani na kuacha kung’ang’ania zinazozalishwa na kampuni za nje ya nchi.

Vipi kuhusu ubora?


Ili kutekeleza suala hilo Nyarandu alitoa maagizo ya kukamatwa kwa nyaya za umeme zisizokuwa na ubora na wahusika wanaozisambaza wachukuliwe hatua kali

Je hilo litawezekana kwani asilimia kubwa ya Viongozi ndio wanaojiusisha na biashara hizo zisizo na ubora
 
Back
Top Bottom