Nyaraka za Kagoda: Msemakweli akataa kuhojiwa na Kamati ya EPA; Ahoji mamlaka yake

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,436
Ndugu wana jamii, taarifa nilizoweza kupata kutoka kwenye original source, ni kwamba Rostam Aziz na Yusuph Manji wamemtafuta Kato na mwenzake waliohusika kama chambo kufungua kampuni ya kagoda ili kuwapoza. ikumbukwe kuwa kwa msajili wa makampuni (BRELA,) majina yaliyotumika ni halisi lakini picha ni feki. Hata hivyo, kuna watu waliweza kunasa sauti ya Kato mwenyewe akiongea na watu waliojitambulisha kwake kuwa wametumwa na Rostam Aziz....siwezi kuelezea walifanyaje ili kuinasa sauti yake, but sasa hivi technologia imepanuka sana na lolote linawezekana.

AGOMA TENA KUANDIKISHA MAELEZO

kama ilivyo kuwa imepangwa, msemakweli alifuatwa na gari la wana usalama( intelligence) ili akaandikishe maelezo ijumatatu ya juzi Tarehe 5 SEPT. 2011. Hivyo basi mpaka saa tatu, msemakweli alipokea simu 2 zilizopigwa kumtaarifu kuwa wanamsubiria. kwa bahati nzuri aliweza kufika eneo la tukio na kukuta tume maalum ikimsubiri kumhoji. kwa mara nyingine tena aligoma na kuwaambia hivi, namnukuu " kati ya nyinyi nyote, hakuna mwenye mamlaka ya kisheria ya kunihoji, hivyo basi sheria imetamka wazi kuwa natakiwa nihojiwe na watu waliopewa mamlaka na jamhuri na watu hao ni DPP na DCI, na si vinginevyo" alisema Msemakweli.

Ndugu wana jamii, hiyo ndiyo report

feleshi na manumba ndio the right office za kumhoji msemakweli as far as the psa is concerned. mambo ya kila kitu 'TUME', hayataifikisha nji hii popote. wanamhoji ili wapate nini ambacho hawakijui?

Kamati ya EPA ni ipi tena hii? Wajumbe wake ni kina nani? Nani kaiunda?

Kimbunga mbona mwenzetu unaturudisha nyuma hivyo? pole sana. Jaribu kuigoogle utaiona ina miaka sasa tangu iundwe.

Ndugu wana jamii, taarifa nilizoweza kupata kutoka kwenye original source, ni kwamba Rostam Aziz na Yusuph Manji wamemtafuta Kato na mwenzake waliohusika kama chambo kufungua kampuni ya kagoda ili kuwapoza. ikumbukwe kuwa kwa msajili wa makampuni (BRELA,) majina yaliyotumika ni halisi lakini picha ni feki. Hata hivyo, kuna watu waliweza kunasa sauti ya Kato mwenyewe akiongea na watu waliojitambulisha kwake kuwa wametumwa na Rostam Aziz....siwezi kuelezea walifanyaje ili kuinasa sauti yake, but sasa hivi technologia imepanuka sana na lolote linawezekana.

AGOMA TENA KUANDIKISHA MAELEZO

kama ilivyo kuwa imepangwa, msemakweli alifuatwa na gari la wana usalama( intelligence) ili akaandikishe maelezo ijumatatu ya juzi Tarehe 5 SEPT. 2011. Hivyo basi mpaka saa tatu, msemakweli alipokea simu 2 zilizopigwa kumtaarifu kuwa wanamsubiria. kwa bahati nzuri aliweza kufika eneo la tukio na kukuta tume maalum ikimsubiri kumhoji. kwa mara nyingine tena aligoma na kuwaambia hivi, namnukuu " kati ya nyinyi nyote, hakuna mwenye mamlaka ya kisheria ya kunihoji, hivyo basi sheria imetamka wazi kuwa natakiwa nihojiwe na watu waliopewa mamlaka na jamhuri na watu hao ni DPP na DCI, na si vinginevyo" alisema Msemakweli.

Ndugu wana jamii, hiyo ndiyo report

Mafisasdi hoi bin taaban

Kimbunga mbona mwenzetu unaturudisha nyuma hivyo? pole sana. Jaribu kuigoogle utaiona ina miaka sasa tangu iundwe.

Mwanakijiji ni ile kamati ya Mnyika? Kwani haikumaliza kazi yake na kukabidhi ripoti? Au ni kamati ya kudumu?

Kwenye kitabu chake cha mafisadi wa elimu wenye Phd. fake, Kaneirugaba kuna sehemu alitamka kuwa 'siku moja nitafanya mapinduzi kwenye nchi hii'.

Ingawa nilikiheshimu kitabu kile lakini kauli yake hii niliipuuza. Sasa nimeanza kuelewa alimaanisha nini.

Mwanakijiji ni ile kamati ya Mnyika? Kwani haikumaliza kazi yake na kukabidhi ripoti? Au ni kamati ya kudumu?

Unajua hata mimi niliwahi kuingia katika mtego wa kufananisha majina Johnson Mwanyika na John Mnyika.

Jamaa ana akili na ajua anachokifanya na kama angefanya kosa hilo lingemgharimu sana anahojiwa kwa sababu gani? Na ni kitu gani ambacho hawajui? Jamaa alishatoa madai yake na amekamilisha upepelezi wake na kuwa anakwenda mahakamani sasa mahojiano ya nini tena? Walitaka kumchota akili then wayarudishe kwa wahusika wajipange halafu wamsubiri mahakamani wamtupe nje waseme ushahidi hautoshi. Kuna mambo ya kijinga sana nchi hii.

Hakika siku ya nyani kumkana mwanawe inakuja ngoja tuone maana wanafikiri bado ni enzi za "zidumu fikra za m/kiti.....zidumuu..."

Kila siku kukicha hii nchi kuna scandal mpya. Hivi hawa ccm na serikali yao watapata muda wa kutekeleza sera zao kweli?

Good move!
Hata mimi bado nashangaa, ile kamati ya mwanyika bado upo tu? Inafanya nini baada ya miaka karibia mitatu sasa?
Au ndo wakusanyaji wa fedha za kagoda zinazorudishwa? Yani tume imegeuka mfilisi halali wa kagoda?

Ile kesi ya Manji anadai fidia ya sh. 1 kwa kukashifiwa na Mengi iko hatua gani?

Nimefurahishwa na huo msemo wa kainerugaba kwamba hakuna mwenye mamlaka ya kumhoji isipokuwa DPP na DCI. Kumbe inawezekana ukawakatalia polisi wasikuhoji??.

Ukizifahamu vizuri sheria na pamoja na hiyo ukawa unajiamini polisi hawawezi kukubabaisha kiasi hicho.

Kitendo cha Msemakweli kutokea kwenye vyombo vya habari akiwataja kwa majina mabig fish tayari ni ishara tosha kwamba anajitambua, sishangai kwa kuikatalia hiyo tume na polisi kumhoji.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom