sirmulumba
New Member
- Feb 12, 2018
- 1
- 1
Anza kufikiria kujiajiri.
kuna vitu vingine sio lazima uulize u need to search by youself ndio maana ya technologia ebooo
vizuri sana.Habari zenu wana-JF?
Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu..
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri.
Shukrani!
Mifano ya Barua ya Maombi, Wasifu (Resume) na Rejea (Reference):
Kwa hisani ya HMS
Du ndo nimesikia leo kuna chuo cha kata Tanzaniavyuo vya kata vina maajabu yake
Communications Skills..nilikuwa nalichukia sana hili somo mpaka nalo likanichukia...Hivi we ukosoma CL katika pitapita yako katika elimu yako.Halafu this is repeated thread m2 wangu be current.