comptuter sciencevyuo vya kata vina maajabu yake
ulizajamn mmbo mm nina swali
si lazima ujibu hadi yasio jibika mzee.Hivi we ukosoma CL katika pitapita yako katika elimu yako.Halafu this is repeated thread m2 wangu be current.
Nayo tuna google na inakuwa vizuri tuDah hata mimi umenishangaza, maana 50 % ya elimu imetoka google sasa wewe cv unauliza ukiambiwa biz plan
Wabongo banaCV for what? Try to study how to plan your own business rather than preparing yourself for interview
mimi naweza kukutumia c.v yangu ukaiedit lakini naogopa taarifa zangu kusambaa ovyo kwahiyo kama kweli unataka msaada wangu nifate PMYan hakuna **** yoyote alienisaidia, wote pumba 2