Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam

serikali tatu ni jibu sasa kwa muungano tupiganie hilo wote wazanzibar na watanganyika..

Zanzibar na Tanganyika ziwe na serikali zao...halafu kuwe na serikali ya muungano kwa mambo ya muungano tu.
 
If

t + z= t

then

z=t - t

and as

t-t=0 no mater what

therefore

z=0

ha ha ha ha ha ha ha ha

Naona una utani na wazenji wewe


Si utani mkuu nimeona ni bora tukaongea kwa lugha nyingine labda tutaeleweka kidogo kuhusu huu muungano nashukuru kwa kumalizia

yaani z = 0 ........" kila mtu anaweza toa tafasiri yake hapa " kwa taafasiri yangu bila Tanganyika Zanzibar itakufa nayo maana tunawalea sana hawa eg umeme bure, waje kwetu free, wanajenga kwetu hatuwazuii tofauti na wao etal
 
Back
Top Bottom