Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Huwezi kuniita mwongo bila ushahidi. Kama hujui unapaswa kuuliza. Maneno haya aliyatamkwa na viongozi wa juu wa ccm na madia zlitangaza. Kila mtu alisikia kasoro wale hawatiliii manani.
Kama unabisha, wauliza Lukuvi na Wasira, kama hawakuweka sheria ya wanachama wao wote lazima wapigie kura ya ndiyo vinginvyo warudishe kadi.
Tafadhli usijifanye huelewi msimamo wa viongozi wa ccm.
Bado nakuita mwongo tu huna jipya wenzako wanaleta vifungu hapa, wakishindwa wanaleta screen shot au cutting za media ili kuverfy ukweli na zaidi ya yote wanaleta clip za sound sasa wewe unaleta hisia zako hatuzitaki!!!