Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Oooh, hii bahati sikuitarajia.
ha ha ha haWeekend ndiyo inaanza mkuu, atakua bado na hapa ni jirani sana na Dom ngoja nimsubili mrembo
ha ha ha nenda mwenyeweTwende chato
ha ha ha kwa nini uutese mwili wako kwa kulala wakati ipo siku utalala kabisa
Popote pale mkuu ulipo,nyanyuka utembeeHii itakuwa ni kwa watu DAR bila shaqa