Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,174
- 39,936
Ijumaa hiyo....tunaelekea kuanza w/kend tukatembelee wapi?Popote pale ulipo elekeza eneo zuri la kutembelea w/kend hii....
ha ha ha kutembea muhimuZunguka zunguka kama dunia
haijalishi unakiasi gani mkuu,unaweza hata kutoka nyumbani kwa mguu ukaenda nje ya mji kushangaaAisee.. Watu mnaishi
Hana muhimiliZunguka zunguka kama dunia
ha ha ha ha haHana muhimili
Doh! Nimecheka sana sikutegemea hili jibu kabisaa.Zunguka zunguka kama dunia
Nipitie mkuuhaijalishi unakiasi gani mkuu,unaweza hata kutoka nyumbani kwa mguu ukaenda nje ya mji kushangaa
Uko pande zipi?Nipitie mkuu
Inabidi kucheka ili tuongeze siku za kuishiDoh! Nimecheka sana sikutegemea hili jibu kabisaa.
KabisaInabidi kucheka ili tuongeze siku za kuishi
Hana muhimili
Umekumbushwa JIOGRAFIA!?
Weekend ndiyo inaanza mkuu, atakua bado na hapa ni jirani sana na Dom ngoja nimsubili mremboha ha ha atakuwa booked labda...