Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
Katika harakati za kuhakikisha pengine maisha yanafanikiwa mbali na eneo la dunia yetu wanaanga walikuwa wanafanya majaribuo mengi huku mojawapo ya majaribio waliyoweza kufanya ni kupanda nyanya huko
Kama unavyoweza kuona katika picha hapo chini kuna nyanya ambazo zilipandwa katika eneo maalumu lisilohitaji udongo ili kufanya ule ukuzaji wa mmea wowote ule
Ni hatua kubwa sana katika zile hatua ambazo wengi walikuwa wanafikiria sababu mojawapo ya kitu muhimu maishani mwetu ni kupata chakula ili kuwezesha maisha yetu kuendelea kuwepo huko tutakapopanga kwenda
Mazao mengi yalishafanyiwa majaribio huko ikiwemo pilipili na baadhi ya mboga mboga za majani kama vile spinachi
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu
AstronomyKiswahili