Nyankurungu: Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo ni kweli. Yeye alikuwa na "Presumtive Tax assessment" tulilipa kodi hadi za enzi ya Mkapa na Kikwete

Magufuli alirithi Hitachi ya ambition ya $, katika Benki kuu, lakini yeye hakuacha hata senti na made ni juu.

Pili Mama hana tabia ya kupora watu

Ndio maana yake, Mama ni mtu wa haki lazima tumsapoti watake wasitake
 
Kwenye namba 6 ndio umejichanganya maana hao wakubwa ndio walikuwa wanawapa machinga mizigo na wanauza bila kutoa risiti, Sasa Bora wauze wenyewe
Kwenye namba sita sijajichanganya hivyo ndivyo ilivyo kwa sasa lakini kabla ya hapo wenye biadhaa ndio walikuwa wakiuza kupitia wamaching hivyo kukwepa kodi
 
Màgufool alikuwa jambazi tena sugu ningeshangaa kama angeendelea kuishi mpaka leo
 
Kama swala ni uongo basi hata wapinzani wanaopambana tuwape nchi nao ni waongo. Waliyoongea kuanzia 2008 mpk 2014 ni tofauti na yale waliyoongea 2015 kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu hadi 2017 au 2018 kama unavyoona pichani.

Hao wote ni magaidi tu ndio maana Lowassa aliwachungulia mapema akawaacha,

_____________________

View attachment 1923583

View attachment 1923593

View attachment 1923594

View attachment 1923595
Na pili unapozungumzia udikteta unasahau yaliyomkuta Chacha Wangwe, Zito, Sumaye nk. Kisa tu uenyekiti wa chama fulani.
 
Kama swala ni uongo basi hata wapinzani wanaopambana tuwape nchi nao ni waongo. Waliyoongea kuanzia 2008 mpk 2014 ni tofauti na yale waliyoongea 2015 kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu hadi 2017 au 2018 kama unavyoona pichani.

Hao wote ni magaidi tu ndio maana Lowassa aliwachungulia mapema akawaacha,

View attachment 1923583

View attachment 1923593

View attachment 1923594

View attachment 1923595
Na pili unapozungumzia udikteta unasahau yaliyomkuta Chacha Wangwe, Zito, Sumaye nk. Kisa tu uenyekiti wa chama fulani.
Kwenye namba 6 ndio umejichanganya maana hao wakubwa ndio walikuwa wanawapa machinga mizigo na wanauza bila kutoa risiti, Sasa Bora wauze wenyewe

Huu ni uongo mtupu, Sio wakati huu wa Mama Samia,
 
Kupora hela halali za wafanyabiashara hata siku moja sio kujenga uchumi bali ni kubomoa ,take my words itatuchukukua miaka mingine ishirini kuweza kufikia level ya shuguli za kiuchumi zilizokuwepo kwa mwaka 2015

Mungu atafanya mkuu tutavuka tu
 
Washabiki wa Mama wengi waimba taarab,naamini 2025 Maji yakimfikia shingoni Mama yenu,basi atamuita Mama Janet aje amsaidie,

yote Sawa tu, Ila hakuna wa kumng'oa Mama 2025,Naomba nawewe mpazie Sauti huyu mteule wa Mungu,
 
Watz hatuko tayar kulipa kodi tuko radhi tukakope kodi za watu wa ulaya na.marekani ila sio sisi kulipa.
 
Utalii uko rebound na ule mgodi wa dhahabu nyanzaga kuanza na viwanda vya kusafisha dhahabu vikifika ata peak sidhan kama mama atakamatika.

Maumivu ya Sasa ni ya miaka 2 kwa sababu uchumi ukiharibika Sana kwa hiyo recovering yake kwa mda mfupi itaumiza.

Nachomkubali Maza hana mda wa kuropoka na kufoka foka wanaelekezana kimya kimya na wasimamizi/ washauri wake kama mawaziri nk tone yao sasa wameanza kumuelewa na kumpigania.

🤛🏿 🤛🏿
 
|[ Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020]|,

SIKILIZA HII NDUGU YANGU NYANKURUNGU.
_______________________________________

Wakati wa Hayati Rais Magufuli wafanyabiashara hawa wachache wasiozidi 2,7M walihudumia watu zaidi ya 60M kwani walilipa kodi za miaka ya nyuma kwa mtindo wa Makadirio ya nyuma,
__________________________________________

Ilikuwa hivi, Tunakupa mashine ya EFD baada ya mwaka tunakuja kukokotoa jumla ya kodi kwa kutumia taarifa za EFD,

it's obvious kodi ya EFD lazima iwe kubwa kuliko ile ya makadirio ya macho na kumsikiliza mteja ( Mfanyabiashara ) yaani " Self Tax assessment "

Mathalani : Kwa miaka kumi mfululizo kwakutumia Self Tax assessment uliluwa unalipa kodi ya Tshs 1,400,000 kwa Mchanganuo wa 350,000|350,000|350,000||350,000 na kila mwaka ukapewa Tax clearance kwamba hudaiwi kodi yoyote,

Baada ya kutathimini kodi kutoka kwenye Taarifa ya EFD tukakuta kodi yako stahiki ilipashwa kuwa Tshs 3,000,000 kwa mwaka,

Sasa kwa kutumia Presumptive Tax Assessment tunasema hiyo tofauti yaani 3,000,000 - 1,400,000 =1,600,000,
Tunaangalia lesseni yako ni lini ulianza biashara,Mfano lesseni yako inasomeka 01|01|2011,

Then, Tunachukua 2021-2011= 10Yrs

Hence,Tunachukua ile tofauti tunazidisha kwa muda uliofanya biashara,

Yaani : 1,600,000 X 10 = 16,000,000"
Tunakupa Invoice ya Tshs 16M kama Tax arrears,
Nimekupeni makadirio ya biashara ndogo tu,Nadhani mmeona kwanini watu walifunga biashara na kukimbilia nchi jirani au walifungua biashara kwa majina mengine,

Hii kitu ilimpa Hayati Rais Magufuli pesa nyingi sana so hakuwa na haja ya kutafuta miamia za tozo kama ilivyo kwa Mama Samia leo,Hayati Rais Magufuli aliamua kuumiza wachache kwaajili ya wengi kitu ambacho kiliua kabisa biashara na mambo yakawa yalivyokuwa, Hapa kila mtu anafahamu nini kilitokea.

JE, MNATAKA HII IRUDI ILI TOZO IONDOLEWE?
JIBU NI HAPANA HII NI DHULUMA MAMA HATAKI KABISA KWANI ANASEMA NIBORA TUSIPATE KODI KULIKO TUDHULUMU WATOTO WA MASIKINI,

Sote tunajua Mama Samia hataki kuumiza yeyote yule ndio maana watanzania wote zaidi ya 60M tozo zinatuhusu na waswahili wanasema " kilio cha wengi ni Sherehe, "

Swali, Je, Mnadhani Rais anakosea kuweka tozo kutokana na mazingira niliyoyaeleza hapo juu!?JIBU NI HAPANA TOZO ILIPWE KIROHO SAFI,

...Kazi indelee na Mungu atangulie...

CCM BILA YA MAGUFULI NI MAFII YA KUKU
Sasa unataka kutuambia magufuli naye angetoza tozo ukusikia hotuba ya magufuli na video ipo humu kuwa awezi kukimbiza masikini kudai senti wakati mungu katupa raslimali kubwa kubwa tunaziacha bila ya kukusanya kodi tena tunaacha tuibiwe, magufuli ameweza kufanya yote kwa sababu zilizo wazi kabisa baadhi ni
1) matumizi mazuri ya pesa za serikali ( hapa hakucheka na kima yoyote)
2)kuondoa wafanyakazi hewa
3) kudhibiti ufisadi hasa kwa madini na kila sehemu
4) kuondoa ufisadi wa escrow nk
5)kuwabana watumishi kuchapakazi
Haya ni baadhi
 
Washauri wote wa Mama nao wanautaka Urahisi Mpango kabla kuwa VP hakuwa wazo kuja kugombea Urahisi sasa ana pressure waha wenzake yuko karibu aje asaidie Chigoma
 
|[ Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020]|,

SIKILIZA HII NDUGU YANGU NYANKURUNGU.
_______________________________________

Wakati wa Hayati Rais Magufuli wafanyabiashara hawa wachache wasiozidi 2,7M walihudumia watu zaidi ya 60M kwani walilipa kodi za miaka ya nyuma kwa mtindo wa Makadirio ya nyuma,
__________________________________________

Ilikuwa hivi, Tunakupa mashine ya EFD baada ya mwaka tunakuja kukokotoa jumla ya kodi kwa kutumia taarifa za EFD,

it's obvious kodi ya EFD lazima iwe kubwa kuliko ile ya makadirio ya macho na kumsikiliza mteja ( Mfanyabiashara ) yaani " Self Tax assessment "

Mathalani : Kwa miaka kumi mfululizo kwakutumia Self Tax assessment uliluwa unalipa kodi ya Tshs 1,400,000 kwa Mchanganuo wa 350,000|350,000|350,000||350,000 na kila mwaka ukapewa Tax clearance kwamba hudaiwi kodi yoyote,

Baada ya kutathimini kodi kutoka kwenye Taarifa ya EFD tukakuta kodi yako stahiki ilipashwa kuwa Tshs 3,000,000 kwa mwaka,

Sasa kwa kutumia Presumptive Tax Assessment tunasema hiyo tofauti yaani 3,000,000 - 1,400,000 =1,600,000,
Tunaangalia lesseni yako ni lini ulianza biashara,Mfano lesseni yako inasomeka 01|01|2011,

Then, Tunachukua 2021-2011= 10Yrs

Hence,Tunachukua ile tofauti tunazidisha kwa muda uliofanya biashara,

Yaani : 1,600,000 X 10 = 16,000,000"
Tunakupa Invoice ya Tshs 16M kama Tax arrears,
Nimekupeni makadirio ya biashara ndogo tu,Nadhani mmeona kwanini watu walifunga biashara na kukimbilia nchi jirani au walifungua biashara kwa majina mengine,
__________________________________________

Hii kitu ilimpa Hayati Rais Magufuli pesa nyingi sana so hakuwa na haja ya kutafuta miamia za tozo kama ilivyo kwa Mama Samia leo,Hayati Rais Magufuli aliamua kuumiza wachache kwaajili ya wengi kitu ambacho kiliua kabisa biashara na mambo yakawa yalivyokuwa, Hapa kila mtu anafahamu nini kilitokea.
__________________________________________

JE, MNATAKA HII IRUDI ILI TOZO IONDOLEWE?
JIBU NI HAPANA HII NI DHULUMA MAMA HATAKI KABISA KWANI ANASEMA NIBORA TUSIPATE KODI KULIKO TUDHULUMU WATOTO WA MASIKINI,

Sote tunajua Mama Samia hataki kuumiza yeyote yule ndio maana watanzania wote zaidi ya 60M tozo zinatuhusu na waswahili wanasema " kilio cha wengi ni Sherehe, "

Swali, Je, Mnadhani Rais anakosea kuweka tozo kutokana na mazingira niliyoyaeleza hapo juu!?JIBU NI HAPANA TOZO ILIPWE KIROHO SAFI,

...Kazi indelee na Mungu atangulie...

Eti uzi wa kufuta Legacy,,bado mtaandika sana,jamaa hasahauliki, endeleeni kujifariji
 
Umenikumbusha vitambulisho vya machinga
 
Back
Top Bottom