Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Ulianzisha uzi hapa na kutuita nyumbu sisi tuliokuwa tunaamini tuhuma zinazomkanili Bashite ni za kweli na hii ndio imekuwa tabia yenu.
Wewe na wenzako mlituponda na kuonyesha kila aina ya dharau ila uzuri Mungu si athumani hatimae kimeeleweka.
Wengine hata tulipohoji kile kilichokuwa kinaitwa vita ya madawa ya kulevya pia tuliitwa nyumba sasa hatimae muda umeongea.
Naomba sasa wewe na kundi lako mjitokeze leo hii kumetetee huyo Makonda wenu.
Siku zote mimi hupenda kusema muda ni kiboko yao.