Nyanda za juu kusin khaa!!! tunaharib majina..

Black jew

Senior Member
Sep 4, 2017
121
222
Wakuu kama kuna kanda hatujuii kuita majina basi sisi wa mbali na bahar tunaongoza mfano

Henry tunaita henure
Cliff tunaita kilifu
Frank - furee au furankii
Mengine mtanisaidiaa
 
Watu hawataki shida na majina yenu ya kizungu yasiyo tamkika, ni mwendo wa
Christian = Kili
Grace = Gile
Frank = Fure
Godfrey = Godi
N.K
 
Back
Top Bottom