Nyambari Nyangwine: Kwa ahadi nilizotekeleza Tarime, CHADEMA hawawezi kuning'oa 2015

Kiazi huyu jamaa!anaongea pumba hakuna mfano,ukikaa nae dk.30 lazima akuchefue na masifa yake!

Leonimeamini shukurani ya punda ni mateke,sikutegemea mtu kama wewe ungeanza kumponda Mhe.Nyangwine ,wewe ulipaswa kumshauri anapopotoka.Au ni kukumbushe mazuri mengi aliyokufanyia ukiachia mbali namna madesa yake yalivyokufikisha hapo ulipo?
 
ha ha ha huyu mbunge wangu namfahamu sana huwa anakaa anasema hivi isingekuwa hii chadema jimbo la tarime ningeliongoza milele lakini kwa sababu chadema wana nguvu sidhani kama nitarudi bungeni tena haya ni maneno yake huwa anasema wazi wazi na alisema ni bora amuandae mke wake agombee jimbo la kawe nikacheka sana ila ukwel ni kwamba awez kuwa mbunge tena hata pale tarime kuna hakimu mmoja ambaye alimsaidia sana kuwa mbunge alimpigania sana kwenye vikao vya chama mpaka kupitishwa kuwa mgombea lakin alishamkimbia yule hakimu na alipromic mengi sana kwa watoto wake lakin mpaka leo kawaacha kwenye mataa wanamlalamikia sana na hata kupokea simu za marafiki zake apokei watu wanamlalamikia sana tarime ingawa kwa upande mwingine siwezi kumlinganisha na mbunge wetu wa zamani ambaye saizi yuko babati amekuwa ni mtu wa kujituma sana kuzungumza maneno mengi sana bungeni ambayo ayana msaada na wanatarime
 
Wewe usijifanye unanijua..mimi huyu Nyambari hakuna lolote alilonifanyia hata moja..kwanza wanatarime hatukumchagua huyu jamaa.
 
2015 haponi mtu sasa waanze kutafta machaka ya kujificha mapema.
mtu akitaka kufa maneno mengi anatoa ki kweli..
 
Kwa wakazi wa Tarime hilo tunaliona kama kejeli na ndoto za mchana kwa Nyambari Nyangwine.

Mara ngapi amezomea mikutanoni? Hesabu anayo!!
Mara ngapi amerushiwa mawe kule Nyamongo na kuingineko? Hesabu anayo!

Hakika Mbunge huyu anafahamu kuwa BIDII YETU
ITAINGIZA
CHADEMA
MADARAKANI 2015
naye atakuwa makapi ya mbunge aliyekuwepo ktk chama cha CCM.
 
ha ha ha huyu mbunge wangu namfahamu sana huwa anakaa anasema hivi isingekuwa hii chadema jimbo la tarime ningeliongoza milele lakini kwa sababu chadema wana nguvu sidhani kama nitarudi bungeni tena haya ni maneno yake huwa anasema wazi wazi na alisema ni bora amuandae mke wake agombee jimbo la kawe nikacheka sana ila ukwel ni kwamba awez kuwa mbunge tena hata pale tarime kuna hakimu mmoja ambaye alimsaidia sana kuwa mbunge alimpigania sana kwenye vikao vya chama mpaka kupitishwa kuwa mgombea lakin alishamkimbia yule hakimu na alipromic mengi sana kwa watoto wake lakin mpaka leo kawaacha kwenye mataa wanamlalamikia sana na hata kupokea simu za marafiki zake apokei watu wanamlalamikia sana tarime ingawa kwa upande mwingine siwezi kumlinganisha na mbunge wetu wa zamani ambaye saizi yuko babati amekuwa ni mtu wa kujituma sana kuzungumza maneno mengi sana bungeni ambayo ayana msaada na wanatarime

mke wake mage ndio awe mbunge wa kawe... jamaa ni mshamba mtu wa masifa sana
 
Kama ana uhakika na haya yaliyoandikwa hapa basi alitakiwa kuitisha press conference huko huko Tarime na awaeleze namna alivyotekeleza ahadi zake kwa wapiga kura wa Tarime.
Kama ana uhakika kwamba atachaguliwa tena kuwa mbunge 2015 atueleze ni mikutano mingapi amewahi kufanya jimboni Tarime na akapata wananchi wengi kumsikiliza na mkutano ukamalizika bila kuzomewa ama kupopolewa mawe.
Hao wananchi anaodai kuwasaidia kulipwa fidia na barrick atwambie amewapatia msaada gani na alianza lini kuwasaidia.
Pia atuambie anavyoweza kuwakilisha mawazo ya wanaTarime bungeni ilihali anaishi Dar es salaam na hapati jukwaa la kuwasikiliza mahitaji yao wanaTarime.
Mwisho asahau kabisa kurudi mjengoni kuwakilisha Tarime kwakuwa kilichompa ubunge kinajulikana na hakiwezi kujirudia. Ajiandae kutafuta jimbo jingine kama mwanaccm mwenzake Kisyeri Chambiri aliyelowea Babati.
 
2015 haponi mtu sasa waanze kutafta machaka ya kujificha mapema.
mtu akitaka kufa maneno mengi anatoa ki kweli..

Nikweli huyu jamaa alichakachua sana mimi kwa mdomo wake alishasema mimi kula nilinunua.na hizo ahadi za umeme hata kama ingekuwa chama gani umeme ungekuja.hatumuchagui tene
 
Mbunge wa Tarime Mh Nyambari Chacha Nyangwine amesema kuwa ahadi kubwa alizoahidi jimboni Tarime amezitekeleza ikiwemo kusambaza umeme maeneo mbalimbali jimboni humo. Akizungumza na Jambo press hapa arusha hii leo Nyangwine ameeleza kuwa mbali na umeme amefanikiwa kusimamia malipo ya fidia kwa watu 13 walioathiriwa na maji ya kemikali ktk mgodi wa north mara hatua itakayowezesha kampuni hiyo kutoa malipo haraka iwezekanavyo siku chache zijazo. Katika kuhakikisha kuwa mgodi huo unawasaidia wakazi wa tarime bw nyangwine ameeleza kuwa amefanya mazungumzo yaliyozaa matunda kwa kampuni ya North mara kukubali kutenga mfuko maalum wa maendeleo na pia kutengwa kwa fedha za fidia za wakazi waliohamishwa kupisha upanuzi. Aidha kutokana na mafanikio hayo mbunge huyo wa Tarime amedokeza kuwa Chadema ina kazi ngumu kumwangusha ktk kiti cha ubunge jimboni humo mwaka 2015. TARIME NI JIMBO LILILOTAWALIWA NA WABUNGWE WATATU NDANI YA MIAKA MINNE ILIYOPITA.
Samahani! anaweza kutuambia alipataje tenda ya kuendesha biashara ya stationery pale chuo cha kumbukumbu cha mwalimu nyerere.Akae kimya nisije muumbua, maana nina ushahidi wa kutosha kama anabisha aseme. Mke wake pia namfahamu sana,amekuwa akifuatilia biashara yake hiyo pale chuoni.Kwa yeye kugombea ubunge wa kawe sifa zake nadhani anaziona nyangwine peke yako,kwangu mimi hata udiwani hafai.
 
.........Kumbe kusambaza umeme ni kazi mbunge!! Basi akiweza 2015 aje Ubungo atusaidie kutatua kero ya maji......'.........
 
Back
Top Bottom