PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Nyamayao
Salaam.
Kwa mara ya mwisho ulipita Arusha 23/12/09 ukiwa unaenda zako MOSHI na hatimaye UUNGANISHE kwenda Mwanza Vekesheni(mkiwa na mzee)
Nakumbuka uliwaleta na kuwaacha watoto wako kwa bibi/babu yao hapa Arusha, kwa nia kwamba ukirudi toka safari hizo uwapitie na kurudi nao Dar.
Imekuwaje hadi leo hurudi kuwachukua, na huku shule zimefungua?
Au wanasoma shule za mtaala wa Cambridge?
Achana na Mwanza bana rudi Dar, Samaki wa hapo watakunenepesha uonekane umekula nanihiino za wachina!