Nyamagana ya Mabula mnakwama wapi? Mbunge apunguze kufanyia kazi kwenye mitandao ya kijamii

Pongezi Kwa bandiko hili ambalo linaonyesha watu wameamka. Kitendo cha kudai Nyamagana ya... Ni dharau sio tu kwa wakazi wake Bali hata wenye kufikiri sawasawa.
Teacher hayo ya hospital ya Butimba iliyoanza kuboreshwa awamu ya nne, Hali ya barabara Katika jiji la Mwanza ni mbaya.
Mbunge Kama ulivyosema anaishi majengo ambako barabara hurekebishwa lakini maeneo Mengi hivi sasa hayapitiki kutokana na kuharibiwa na mvua.
Karla ya kuhamia majengo alikuwa akiishi California ambako barabara ilikuwa ikihudumiwa, lakini tangu amehama Hali ni tofauti, magari hayapiti kutokana na ubovu WA barabara, na kuna eneo handaki mtu mzima anapotelea humo!
Hali ni mbaya kote, Barabara ya kutoka darajani mkolani kwenda nyanembe haipitiki kwa gari. Wenye nayo wanayaacha ndani au mbali na nyumbani.
Hivyo hivyo buhongwa bulale, luchelele nk, Hali ni mbaya,kumbe mbunge yuko Instagram na hatumuoni.
Akumbuke huu ni mwaka WA uchaguzi na husemwa mbunge WA Nyamagana hudumu kipindi kimoja
Atarudi kwenye kazi yake ya ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa muhun sanaa,kaja kweny hafla flam ya graduation happa igoma kaaidi mifuko mia ya cement ila cha ajabu hakuna hata mmoja uliotolewa,n mtu wa maneno mengi amba yo hayatekelezek
Kwenye hili hujasema kweli. Nenda kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Igoma atakuthibitishia kuwa aliipeleka. Tens on time.
 
Luchelele na shadi maji hayatoki miezi kadhaa bomba zimebaki kuwa mapambo! Barbara ya bulale majanga, mwasonge ujenzi WA daraja umesimama! Mabadiliko nyamagana!
suala la maji kutoka nadhani wasiliana na mamlaka ya maji mwanza utapata usaidizi jukumu la mbunge ilikuwa ni kuhakikisha miundo mbinu ya maji inataengenezwa, lakini bills mnalipa vizuri?
 
Back
Top Bottom