Elections 2010 Nyamagana na Ilemela ni Vurugu

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,165
Wananchi wamechoka kusubiri matokeo na sasa wanaanza kutumia nguvu kuingia ndani ya chumba walikojifungia maafisa uchaguzi.

Matokeo ya majimbo mawili yanasubiliwa toka jengo moja chini ya mkurugenzi mmoja wa jiji la Mwanza.
 
hilo ndo jibu.Na wasijaribu kufanya chochote maana pale wamejaa washashi tupu sio wasukuma. CCm imeshashindwa.
 
Wanataka kuchakachua matokeo, na wasipokuwa makini hao viongozi wanaochelewesha matokeo ndio watasababisha umwagaji damu.
 
ccm tafadhari msiharibu ushindi wetu,chochote tunaweza fanya msituletee longolongo
historia itawahuku
u
 
kwani tatizo ni nini?
Au wanafanya tathmini ya urais? Mi ninahisi wanachelewesha matokeo kwa kuangalia matokeo ya urais. Wajue waaazi Mungu yupo na hatakaa kimya watu wake tudhulumiwe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom