Nyamagana na Ilemela ni Vurugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyamagana na Ilemela ni Vurugu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MchunguZI, Nov 1, 2010.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,620
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Wananchi wamechoka kusubiri matokeo na sasa wanaanza kutumia nguvu kuingia ndani ya chumba walikojifungia maafisa uchaguzi.

  Matokeo ya majimbo mawili yanasubiliwa toka jengo moja chini ya mkurugenzi mmoja wa jiji la Mwanza.
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wanajaribu kuchakachua nn hao MWanza? Najua Masha amegalagazwa....
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hilo ndo jibu.Na wasijaribu kufanya chochote maana pale wamejaa washashi tupu sio wasukuma. CCm imeshashindwa.
   
 4. V

  Vitus mkumbee Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio hat mm naona wanataka kuiba
   
 5. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 499
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kumbuka ule waraka tulioonyeshwa hapa jf.
   
 6. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Vipi wana jf wamechakachua mtandao wetu.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Wanataka kuchakachua matokeo, na wasipokuwa makini hao viongozi wanaochelewesha matokeo ndio watasababisha umwagaji damu.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,140
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  leo ni leo

  sawa sawa
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ccm tafadhari msiharibu ushindi wetu,chochote tunaweza fanya msituletee longolongo
  historia itawahuku
  u
   
 10. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,673
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  yani mwanza noumah!!!
   
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani tatizo ni nini?
  Au wanafanya tathmini ya urais? Mi ninahisi wanachelewesha matokeo kwa kuangalia matokeo ya urais. Wajue waaazi Mungu yupo na hatakaa kimya watu wake tudhulumiwe
   
Loading...