yotekwayote
New Member
- Mar 1, 2016
- 3
- 0
Wadau naomba kujua Kuhusu daktari bingwa yeyote wa ENTs katika hospital yeyote mkoa wa Mbeya pua zinabana hadi maranyingine nashindwa kupumua swala hili limeathiri sana utendaji wangu wa kazi.... Ushauri na maoni nitafurahi sana