mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,826
Naomba mwenye uelewa wapendwa nyama za kwenye kidole gumba mkono Wa kushoto zinanicheza tangu Jana yaani kama kupumzika ni kaa mda mfupi tu View attachment 527142
Siku zikicheza nyama za makalio niambie.nikutafsirie maana yake.Naomba mwenye uelewa wapendwa nyama za kwenye kidole gumba mkono Wa kushoto zinanicheza tangu Jana yaani kama kupumzika ni kaa mda mfupi tu View attachment 527142
we jamaa wwSiku zikicheza nyama za makalio niambie.nikutafsirie maana yake.