Nyama ya Mbuzi wa Kenya sio watamu kama wa Tanzania

avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,764
2,000
Sasa ulitarajia mbuzi wanaokula mirungi a.k.a Miraa wawe watamu? Haya majani yana laana hata minaadamu akiyatafuna afya yake ya mwili inadhoofu na ya akili inaharibika sembuse mbuzi?
 

for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
2,689
2,000
Mbuzi za Kenya hadi ziko na group ya wasap za kusengenya Mbuzi za kayole na kibera kuwa ni Mbuzi chokoraa Mbuzi za wameru zingine ni kingpin zinamiriki hadi shamba za miraaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom