Hoteli gani Dar inauzwa nyama ya bata

Asante

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,084
1,076
Jamani sijawahi kula nyama ya bata.

Je hapa jijini Dsm ni hoteli ipi wanauza nyama ya bata?

Sokoni wako wengi wanauzwa lakini nasikia ukichinja bata ni lazima umning'inize kwanza kwani ana maji mengi.

Naomba wajuzi wa kuoka au kupika bata watupe darasa.

Asante
 
Nyama ya bata ni tamu! Kwa mchuzi mtamu, kwa kuoka mtamu, kwa kukaangaa mtamu! Ww nunua bata kwanza kisha weka thread hapa tukuelekeze.
 
nenda pale break point makumbusho wapo. agizia nyama ya bata kwa ugali wa muhogo au mnunue mzima ukamchinjie nyumbani kwako. mia
 
nenda pale break point makumbusho wapo. agizia nyama ya bata kwa ugali wa muhogo au mnunue mzima ukamchinjie nyumbani kwako. mia

mmmmhhhh hapa na kwa nyama pori hatari kila siku nikienda na kosa ugali wa muhogo dah..
 
Back
Top Bottom