Nyama Pori imepimwa?

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Jamani kila mtu humu ndani kwa namna moja au nyingine anaweza kuwa kala nyama pori na hatuna uhakika alikuwa mnyama gani kwani inakuja imekatwa na au imekaushwa. Daktari wa mifugo anashauri kuwa ni muhimu kuipima maana inaweza kuwa na magonjwa au pia ikawa ni mzoga

Je mdau unasemaje? Tuendelee kuila au utaratibu gani utumike ili tupate nyama salama?
 
Back
Top Bottom