babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,091
- 15,986
wakuu ktk pita pita zangu kwenye mabaa kutafuta nyamchom ya uhakika leo nikaamua kupita pale kona bar sinza nje jamaa wameanika nyama km mnadani dodoma.nimeechoma ya 4000 sikuamini macho yangu nilipoletewa nyama imejaa sahani na ugali wa kufa ntu.ambayo baa zingine nauziwa 8000
Nimefurahi sana kupata sehemu ya nyamachoma ya ukweeli bilal uchakachuaji.
Mie hapa nshakuwa mteja wa kudumu
wakuu msisahau kupita hapa mkitokaa kwenye masanga,mi mtanikuta na toothpick
Nimefurahi sana kupata sehemu ya nyamachoma ya ukweeli bilal uchakachuaji.
Mie hapa nshakuwa mteja wa kudumu
wakuu msisahau kupita hapa mkitokaa kwenye masanga,mi mtanikuta na toothpick