Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Mwamb
CHADEMA ndio chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM, mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.

Hakuna CCM bila Police, CCM imeshakufa, uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola. Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.

Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno, unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi. Naam, ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.

Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?

Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote, Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS, kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.

Tumeshasema hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.

Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa. Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.

Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.

CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Mwambieni Dikteta Mbowe aachie madaraka, zaidi ya maiaka 30 mwenyekiti yeye tu! Shubamiti
 
Kilichomtoa CCM Nyarandu ni kutokuwa mnafiki, baada ya Lisu kupigwa risasi karibia wabunge wote wa singida hawakuafiki tukio lile utaona mwigulu, nyarandu na ndiyo kipindi MO yalimkuta ya kumkuta Damu ni nzito kuliko maji, walioweza kubadilika na kuwa kinyonga walidumu lakini wasioweza unafiki ndiyo hivyo. Sasa mtesi hayupo tena, unadhani kwanini hakuunga juhudi enzi za mwendazake

Kumbe wewe kipimo chako cha unafiki Ndo hicho kwa mtu kama nyarandu. Mama Samia alienda wapi.

Kuna Shida sana katika kufikiri kwako.
 
CHADEMA itashika dola muda si mrefu katika mazingira ambayo hayakutaraiwa kwani hiki chama ni mpango wa Mungu kwa watanzania.

Mungu hawezi kuruhusu CCM iendelee kutesa na kunyanyasa watu wake na ataipiga kofi na kuiondoa madarakani .

Hayati hakudumu, na hata hiki kikundi cha watu kilichosalia na kinachokula mema ya nchi hii kwa gharama ya masikini wa nchi hakitadumu pia.

Ni swala la muda tu.
Mumeamua kumwachia Mungu sio , hapo ndo miongo itakata pasipo muujiza kutokea, so mbaya tufanye tu unabii
 
Nakukumbusha kwenye HITIMISHO umesahau kuandika bei ya kitabu chako cha ujasusi.
 
CHADEMA ndio chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM, mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.

Hakuna CCM bila Police, CCM imeshakufa, uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola. Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.

Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno, unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi. Naam, ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.

Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?

Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote, Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS, kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.

Tumeshasema hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.

Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa. Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.

Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.

CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Nyalandu hana cha ujasusi bali ni msakatonge kama wenzake waliokimbia CCM wakaishia kuramba matapishi yao na kujirudisha kwa aibu kama mbwa aliyefumaniwa akimwibia bwana wake. Hakuna cha ujasusi wala nini bali njaa. Msimpe Nyalandu ujiko bure.
 
CHADEMA ndio chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM, mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.

Hakuna CCM bila Police, CCM imeshakufa, uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola. Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.

Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno, unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi. Naam, ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.

Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?

Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote, Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS, kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.

Tumeshasema hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.

Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa. Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.

Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.

CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Mtaacha lini ujinga.
Kwamba jasusi hawezi kukaa chama pinzani hadi kifo ,jasusi anatumikia Taifa au Chama.
Utoto wenu wa mtu akija CHADEMA sio jasusi ,akirudi CCM ndo anakua jasusi ghafla,shame.
 
Back
Top Bottom