Huwezi kujibu hoja ambayo haina logic.Hii kauli ilinichekesa sana.
Ninaamini itanichukua nmuda mrefu kuisahau.
CHADEMA ya sasa haijibi hoja za wale wanakihama chama bali inatumia matusi na kejeri kujikinga kwa sababu haina mwanvuli wa hoja mbadala.