Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,390
- 5,310
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!
Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.