Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Hivi sasa kuna mgogoro unaofukuta chini kwa chini unaohusu wapagazi wa mizigo ya watalii pamoja na waongoza watalii nchini na kupitia vyama vyao wametishia kufanya mgomo ifikapo tarehe 30 mwezi huu endapo serikali itashindwa kuwapatia/kusimamia nyongeza ya mshahara wanayoidai.
Tatizo hili limeshawasilishwa wizarani kwa muda sasa lakini inaonekana mpaka sasa limeshindwa kupatiwa ufumbuzi!
Mgogoro huu umeripotiwa ITV siku 3 au 2 zilizopita.
Ninachojiuliza,kama waziri Nyalandu tatizo hili tu dogo ndani ya wizara yake anashindwa kulipatia ufumbuzi,itakuwaje kwa matatizo ya nchi endapo atabahatika kuwa raisi wa nchi hii?!