Nyalandu, Kama umeshindwa kutatua tatizo dogo la Wapagazi na Waongoza Watalii, Ukipewa nchi utaweza?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
45,172
137,688
Hivi sasa kuna mgogoro unaofukuta chini kwa chini unaohusu wapagazi wa mizigo ya watalii pamoja na waongoza watalii nchini na kupitia vyama vyao wametishia kufanya mgomo ifikapo tarehe 30 mwezi huu endapo serikali itashindwa kuwapatia/kusimamia nyongeza ya mshahara wanayoidai.

Tatizo hili limeshawasilishwa wizarani kwa muda sasa lakini inaonekana mpaka sasa limeshindwa kupatiwa ufumbuzi!

Mgogoro huu umeripotiwa ITV siku 3 au 2 zilizopita.

Ninachojiuliza,kama waziri Nyalandu tatizo hili tu dogo ndani ya wizara yake anashindwa kulipatia ufumbuzi,itakuwaje kwa matatizo ya nchi endapo atabahatika kuwa raisi wa nchi hii?!
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
6,282
4,343

jiwe lililotupwa gizani
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom