Nyalandu aendelea kuibomoa CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wakati hali ya upinzani ikizidi kubanwa kwa kunyimwa nafasi za kufanya shughuli zao za kikatiba mh Nyarandu ameendelea kupokea wananchama wapya kutoka ccm.

Amewapokea wana ccm walio amua kujivua gamba na kujiunga cdm ambacho ni chama cha kuwatetea wananchi.

Hongera sana mh Nyarandu
FB_IMG_1569677129142.jpeg
 
Kwa watu wapumbavu kama wewe ndiyo unaweza kuamini hayo uliyo yaongea
Nyarandu ni mdogo na dhaifu sana kuweza kuitetemesha CCM na hao unaowaona wakirudisha kadi sio wanaCCM bali ni wapinzani waliotengenezewa kadi za CCM. Kwa muda na wakati kama huu hakuna mwanaCCM anayetamani kuhamia UPINZANI wakiacha neema na mafanikio tele nyumbani
 
Wakati hali ya upinzani ikizidi kubanwa kwa kunyimwa nafasi za kufanya shughuli zao za kikatiba mh Nyarandu ameendelea kupokea wananchama wapya kutoka ccm.

Amewapokea wana ccm walio amua kujivua gamba na kujiunga cdm ambacho ni chama cha kuwatetea wananchi.

Hongera sana mh NyaranduView attachment 1218069
Kila siku anakusanya kadi hizo hizo tu? Ha ha ha.
 
Wakati hali ya upinzani ikizidi kubanwa kwa kunyimwa nafasi za kufanya shughuli zao za kikatiba mh Nyarandu ameendelea kupokea wananchama wapya kutoka ccm.

Amewapokea wana ccm walio amua kujivua gamba na kujiunga cdm ambacho ni chama cha kuwatetea wananchi.

Hongera sana mh NyaranduView attachment 1218069

Subirini atakapowapiga chenga ya mwili na kurudi nyumbani
 
Nyarandu ni mdogo na dhaifu sana kuweza kuitetemesha CCM na hao unaowaona wakirudisha kadi sio wanaCCM bali ni wapinzani waliotengenezewa kadi za CCM. Kwa muda na wakati kama huu hakuna mwanaCCM anayetamani kuhamia UPINZANI wakiacha neema na mafanikio tele nyumbani
Kuna mjinga anajiita Mmawia aliweka picha ya basi alilopewa lisu ubelgji, limeshafika bandarini Dar?!
 
Keep on bragging yourself for nothing ,many late CCM members joined opposition but nothing fishy from them, its reputation and repercussion is totally negative not only to the party but also to the public! Pls learn!
 
Bakia kwenye njozi za kitumwa
Keep on bragging yourself for nothing ,many late CCM members joined opposition but nothing fishy from them, its reputation and repercussion is totally negative not only to the party but also to the public! Pls learn!
FB_IMG_1521609809883.jpeg
 
Uzuri Wa nyalandu anaamini sana katika maamuzi ya watu kwenye mamlaka.ila kwa jinsi ccm wasivyoamini katika demokrasia usishangae akafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.ccm siasa za ushindani hawaziwezi.
 
Nyarandu ni mdogo na dhaifu sana kuweza kuitetemesha CCM na hao unaowaona wakirudisha kadi sio wanaCCM bali ni wapinzani waliotengenezewa kadi za CCM. Kwa muda na wakati kama huu hakuna mwanaCCM anayetamani kuhamia UPINZANI wakiacha neema na mafanikio tele nyumbani
Duh
Kaaz kwel kwel
 
Back
Top Bottom